Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Itajulikana tu
Itajulikana tu
Mmmmhwatu waandae dress ya black, mawani na tissue na waips za kufutia machozi ?
Hata wewe hautakiwepoKabla ya 2070 kuna msiba mkubwa sana utatokea
Vita ya Iran dhidi ya Israel + US hukuona? Au hilo halikuwa jambo zito?Hivi kabla ya Julai haijfika tu?
Mtu aliye jikoni akikuamboa chakula hakina chumvi, hiyo ni ramli?Acheni uzushi na ramli
Kwahiyo shogaangu na wewe mtu wa system 😹😹Mbona Kila siku tunasema hapa ila chawa wanabisha,
From July Kila kitu kinaenda kubadirika huko ndani kwao, stay tuned
Jambo Zito ni kuvunjwa Kwa Bunge Tu.Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania
Utajibiwa hivi,Siku zinaisha mkuu, Giza Nene ni lini?