Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 3,700
- 9,570
Tutasubiri tuone.
Acheni uzushi na ramliKabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania
Hisia za mtu wa form sixKabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania
Hayo ni maswala ambayo mtu mwenye akili timamu anatakiwa kujiuliza kama.Nime furahi kuona ume kiri mabeyo tusi mlaumu Sana.
Ila hawa civil services naji uliza toka uhuru hawakuwa na back plan ya kubalance mzani?.
serikali iki shika dola, wali takiwa kuwa na task force ya kulinda nchi na ku question baadhi ya mambo.
Wao Wana kuja kushituka 2024
Hao senior civil servants ni walamba asali na wabinafsi, hawajali chochote as long as ya kwao yanawaendea.Shida ni weak system, intelligence ni mchezo wa predictability.
Kinachoendelea sasa ni predictable, uwezi kupanda mabua, uvune miwa.
Mabeyo alifanya makosa, kuzuia wenzake kupindua męża.
The worst is yet to come, trust me.
Regardless, Lissu sio solution maana huyo ni taahira zaidi.
Civil servants hasa seniors ni nafasi za watu wenye akili, wajipange nchi wanaikomboa vipi.
Mbele sio kuzuri kwa aina hii ya uongozi.
Ndio maana nachunga ndimi.Hao senior civil servants ni walamba asali na wabinafsi, hawajali chochote as long as ya kwao yanawaendea.
HowCode ngumu hii ila itafunguka tu
Kwamba civil service wanamuandaa Lissu aingie ikulu. Mzaha huu mkuu. Mnajishushia heshima yenu jukwaani.Ndio maana nachunga ndimi.
Naongea generał tu
Hata sijui hiyo conclusion yako umeitoa wapi kupitia michango yangu.Kwamba civil service wanamuandaa Lissu aingie ikulu. Mzaha huu mkuu. Mnajishushia heshima yenu jukwaani.
Are mentally retarded? Soma uelewe hio comment.Kwamba civil service wanamuandaa Lissu aingie ikulu. Mzaha huu mkuu. Mnajishushia heshima yenu jukwaani.