Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
Jambo lisukwe na mawakala wa shetani then useme Mungu huyu Sasa hapo Mungu wako anahusikaje?

Nachopenda ni kwamba kautamaduni ka kusukumiana shimono kakianza basi ujue itakuwa hivyo all over ,Sasa mtajuana huko huko.

Kwangu Wanasiasa mkiuana haijawahi kuwa shida ,Bali shida itakuja kama amani itavufugika.

Mwisho utabiri wako hauna tofauti na ule wa yule mnamuitaga Tumainiel 😂😂
 
Hayo ni maswala ambayo mtu mwenye akili timamu anatakiwa kujiuliza kama.

Senior civil servants fikra hizo zinatakiwa kuwa juzuu yao (kufanya risk assessment).

Civil service ya maana wangę changamkia fursa JK alipotoa ruhusu ya kubadili katiba wakaacha kupigania maslahi ya kupunguza madaraka na nguvu za raisi kuteua kirahisi nafasi zao.

Guess what mzee Warioba alikuwa against that idea too (wacha Makonda amzabee vibao babu ni useless tu kwa upande wangu).

Siasa kama discipline nyingine yeyote ina risk assessments zake kwa maslahi ya muda mrefu wa taifa. This is the essence of Plato’s ship allegory and what made his case for being the best philosopher of all time.

Ndio msingi wa usalama wa taifa ni kuwa mchezo wa watu wenye akili, kuna demu namjua mwajiriwa wa mambo ya nje (probably njagu) serikali imemsomesha chuo kikubwa (wanawalipia vyuo vikubwa).

Ila huyo demu wakati tuko shule wenzake walikuwa wanamgalagaza sana hakuwa na uwezo.

Sasa hizo nafasi sio za mzaha.

Na sisemi hawatafuti talent, ila sio lazima wawe diaspora ni jukumu lao kuokota watu wenye sifa sahihi na kuwapika based on intelligence.

Kuna watu wengi wanaufaulu wa 1.7 form four, 1.3 A’level na first class degrees za undergraduate hawa ndio candidates wa kwanza.

Get serious

Mkali, mkali tu; kuna demu ninaemjua alikuwa mkali utotoni. Future yake private kagombewa sana, kashika senior position nyingi (akiwa na options) za taasisi zinazomtaka na kumuongezea dau, sasa hivi yupo kwenye senior position za shell, wengine wako UN seniors.

Serikalini wengi unga, unga tu; kwa ninao wajua waliopo huko.
Hilo ndio tatizo la TZ yetu. Wenyewe ukiwa chawa na muimba mapambio tu sawa.
 
Jambo Gani ilo , tume huru ya uchaguzi mana Chadema ishapasuka Sasa. Tunauhakika wa ushindi
 
Hujawahi kumkubali Samia kwa chochote tangu mwanzo. Mijadala yenye kuzua taharuki kwenye uongozi wake lazima ikuvutie. Mara ngapi britanicca amekuwa akitoa tabiri za uongo jukwaani? Lakini kwasababu zinafurahisha nafsi zenu huwa mnakuwa mbele kudadavua as if na ninyi ni sehemu ya huo mpango fake.
Kwani ni lazima kumkubali samia? Kama hafanyi yale wanayotaka majority, anafanya ya minority sisi wa hali ya chini tutamkubali vipi? Unatulazimisha? Au unataka uanzishe jihad ya sa100 usipomkubali upigwe? Wewe unamatatizo kichwani.
 
Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
Talk science, talk science, talk science, and do not base your analysis of issues based on voodoo
 
Mkuu umeongea sahihi kabisa. Mimi huwa nawaza sana kuhusu jambo hili. Inamaana nchi hii tumekosa kiongozi bora mpaka mambo yaendelee kwenda hivi yanavoenda na watu wanaangalia tu?

Mabeyo alitukosea sana watanganyika. Alikuwa na nafasi kubwa sana ya kutuepusha tusifike hapa lakini hakufanya hivyo. Matokeo yake heshima yake yote imepotea na sijui atafanya nini kurekebisha.

Sisemi kwamba lisu anafaa lakini kwa yanayoendelea afadhali hata lisu.
Kuna nyuzi nyingi sana humu za kumsifia Mabeyo kwa kile kinachosemakana alikifanya,

Yani kwamba Kasim, Ndugai, Bashiru na wengineo wote walikuwa hawana akili ila yeye Mabeyo tu wakati wote hao walikuwa jikoni kabisa?

Magufuli alikuwa haendani kabisa na watu wenye akili ndogo ndio maana kuna kipindi tuliambiwa mtu alitaka kujiuzuru sababu hashirilishwi mambo! Utamshirikishaje mtu mwenye akili ndogo namna hii.?
 
Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
Hekaya za abunuasi....mkuu wewe huna jambo uliloletaga humu likawa la kweli!!


We ndio uliletaga story kuwa marehemu dokta SHIKA alikuwa jasusi huko Russia n blabla kibaooo....wakati mzee wa watu amekufa kwenye chumba stoo alichokuwa analala kimejaa ndoo za maji tu kibao.



Halafu sijui ni wewe pia ukaja na uongo mwingine mabilioni ya dokta shika yatua uwanja wa ndege wa Mwl nyerere.na dokta Shika anataka kuifadhili club ya Yanga....


na mshabiki mazuzu wa utopolo wakawa wanademka kwa furahaa!!
 
Back
Top Bottom