au wewe umeelewa?
Mimi kwa kuwa nina imani mno na wewe ukisema jambo la huko kaya kuu,huwa naamini kama ninavyomuamini Mama yangu mzazi kuwa ni yeye aliyenizaa,hata hili naamini.Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania
Hujawahi kumkubali Samia kwa chochote tangu mwanzo. Mijadala yenye kuzua taharuki kwenye uongozi wake lazima ikuvutie. Mara ngapi britanicca amekuwa akitoa tabiri za uongo jukwaani? Lakini kwasababu zinafurahisha nafsi zenu huwa mnakuwa mbele kudadavua as if na ninyi ni sehemu ya huo mpango fake.Hata sijui hiyo conclusion yako umeitoa wapi kupitia michango yangu.
Yaani kuna humu mnatabia ya kutoa vitu kutoka vichwani kwenu, kujiandikia mambo na kudhani huo ndio uhalisia.
Seriously where implicitly have I ever supported Lissu or any political party in posts.
Jeez
Kwa akili yako, umefikiria nimejibu comment hiyo tu. Na unajiona akili yako ipo sawa sawa? Soma comments zake kuanzia mwanzo wa mjadala huu.Are mentally retarded? Soma uelewe hio comment.
Kutofaa Kwa lisu ni kutokana na mapito yake,Bado ana trauma huyo jamaa!!Kiongozi siasa za Tanzania ni predictable.
Mengine tuwaachie wahusika wanaosoma makosa yao.
Na hata hao mafisadi waliopo wanajua awataishi milele na wanajukumu la kuacha idara zao kwa watu sahihi.
Ndio maana uwa nina mipaka na kuongea jumla jumla, haya majamaa usijifanye unayajua sana.
Ni kuwaonyesha tu weakness na tamaa zao; ila usijifanye unajua details (naweza zisema ila kucha zangu muhimu) kuna mipaka.
Ninaposema it was predictable kuna information nyingi na withheld.
Na ninaposema Lissu hafai kuna mengi sio sielezii.
Balancing the two analysis, ndio maana evaluation yangu uwa ni civil services kujipanga na kupunguza madaraka ya raisi kwa faida yao.
Hapo Sasa nimekuelewa competence ya watu wengi wanaofanya kazi serikalini ni ndogo Sana ndio maana miaka 64 ya Uhuru bado sisi ni masikini wa kutupwaHayo ni maswala ambayo mtu mwenye akili timamu anatakiwa kujiuliza kama.
Senior civil servants fikra hizo zinatakiwa kuwa juzuu yao (kufanya risk assessment).
Civil service ya maana wangÄ™ changamkia fursa JK alipotoa ruhusu ya kubadili katiba wakaacha kupigania maslahi ya kupunguza madaraka na nguvu za raisi kuteua kirahisi nafasi zao.
Guess what mzee Warioba alikuwa against that idea too (wacha Makonda amzabee vibao babu ni useless tu kwa upande wangu).
Siasa kama discipline nyingine yeyote ina risk assessments zake kwa maslahi ya muda mrefu wa taifa. This is the essence of Plato’s ship allegory and what made his case for being the best philosopher of all time.
Ndio msingi wa usalama wa taifa ni kuwa mchezo wa watu wenye akili, kuna demu namjua mwajiriwa wa mambo ya nje (probably njagu) serikali imemsomesha chuo kikubwa (wanawalipia vyuo vikubwa).
Ila huyo demu wakati tuko shule wenzake walikuwa wanamgalagaza sana hakuwa na uwezo.
Sasa hizo nafasi sio za mzaha.
Na sisemi hawatafuti talent, ila sio lazima wawe diaspora ni jukumu lao kuokota watu wenye sifa sahihi na kuwapika based on intelligence.
Kuna watu wengi wanaufaulu wa 1.7 form four, 1.3 A’level na first class degrees za undergraduate hawa ndio candidates wa kwanza.
Get serious
Mkali, mkali tu; kuna demu ninaemjua alikuwa mkali utotoni. Future yake private kagombewa sana, kashika senior position nyingi (akiwa na options) za taasisi zinazomtaka na kumuongezea dau, sasa hivi yupo kwenye senior position za shell, wengine wako UN seniors.
Serikalini wengi unga, unga tu; kwa ninao wajua waliopo huko.
Boss umefika huku?Kikubwa Mungu aamue ugomvi tu, tuko pamoja nae😄.
Hii hamna kitu maana hakuna alichotoa ,mwanzo mbona alikuwa anataja vitu direct kama uteuzi wa DGIS ,kupigwa chini mawaziri na kuteuliwa wapya? Hii mbona hajasema tukio zaidi ya kubashiri ,kwani wewe unavyofikiria hadi mwezi wa 7 hakuna kitu chochote kitachotokea kuelekea uchaguzi mkuu? Awe specific.Britanicca, tunakuamini kwa kutupatia habari kutoka source sahihi za ndani kabisa.
Tutafuatilia uzi huu hadi mwisho.
Sana mkuuMwaka mzito huu
Kwahiyo nani ni leadership materialUpande mwingine wa dunia Pacers are on massacre mood, poor Cleveland.
Split talent always beats, superstar reliable teams.
Kwa upande wa siasa, a strong civil services always; beats politicians ambitions kwenye maslahi ya taifa,
Bila ya katiba ya kupunguza teuzi za raisi. Hakuna miujiza itakayotokea anytime soon.
Uongozi uliopo ni wa hovyo na hao mbadala ndio hovyo kweli kweli.
Suluhisho la Tanzania ni strong civil services, sio waropokaji wa vyama vya siasa (ooh my god, kuna watu kabisa wanaamini Lissu ni leadership material), lazima awaitakii nchi mema.
Ndo hivyoKabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania
Mbona Kila siku tunasema hapa ila chawa wanabisha,aliyeelewa