Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

Upande mwingine wa dunia Pacers are on massacre mood, poor Cleveland.

Split talent always beats, superstar reliable teams.

Kwa upande wa siasa, a strong civil services always; beats politicians ambitions kwenye maslahi ya taifa,

Bila ya katiba ya kupunguza teuzi za raisi. Hakuna miujiza itakayotokea anytime soon.

Uongozi uliopo ni wa hovyo na hao mbadala ndio hovyo kweli kweli.

Suluhisho la Tanzania ni strong civil services, sio waropokaji wa vyama vya siasa (ooh my god, kuna watu kabisa wanaamini Lissu ni leadership material), lazima awaitakii nchi mema.
 
Taifa linapita kwenye nyakati ngumu sana
Shida ni weak system, intelligence ni mchezo wa predictability.

Kinachoendelea sasa ni predictable, uwezi kupanda mabua, uvune miwa.

Mabeyo alifanya makosa, kuzuia wenzake kupindua męża.

The worst is yet to come, trust me.

Regardless, Lissu sio solution maana huyo ni taahira zaidi.

Civil servants hasa seniors ni nafasi za watu wenye akili, wajipange nchi wanaikomboa vipi.

Mbele sio kuzuri kwa aina hii ya uongozi.
 
Mkuu umeongea sahihi kabisa. Mimi huwa nawaza sana kuhusu jambo hili. Inamaana nchi hii tumekosa kiongozi bora mpaka mambo yaendelee kwenda hivi yanavoenda na watu wanaangalia tu?

Mabeyo alitukosea sana watanganyika. Alikuwa na nafasi kubwa sana ya kutuepusha tusifike hapa lakini hakufanya hivyo. Matokeo yake heshima yake yote imepotea na sijui atafanya nini kurekebisha.

Sisemi kwamba lisu anafaa lakini kwa yanayoendelea afadhali hata lisu.
 
Kiongozi siasa za Tanzania ni predictable.

Mengine tuwaachie wahusika wanaosoma makosa yao.

Na hata hao mafisadi waliopo wanajua awataishi milele na wanajukumu la kuacha idara zao kwa watu sahihi.

Ndio maana uwa nina mipaka na kuongea jumla jumla, haya majamaa usijifanye unayajua sana.

Ni kuwaonyesha tu weakness na tamaa zao; ila usijifanye unajua details (naweza zisema ila kucha zangu muhimu) kuna mipaka.

Ninaposema it was predictable kuna information nyingi na withheld.

Na ninaposema Lissu hafai kuna mengi sio sielezii.

Balancing the two analysis, ndio maana evaluation yangu uwa ni civil services kujipanga na kupunguza madaraka ya raisi kwa faida yao.
 
Asante nimekuelewa mkuu
 
TOka kina mahiga, benjamin, na kijazi walivyo ondoka kwa style 1, basi sija wahi kuwa shabiki wa hao civil services.

Mabeyo tusi mlaumu Sana huwezi jua aliona au kuambiwa kipi.
 
Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
Hizi ndio habari wanapenda wabongo

Drama, bad news, ubashiri na uchawichawi

Hasa zikihusu maumivu Kwa mtu
 
TOka kina mahiga, benjamin, na kijazi walivyo ondoka kwa style 1, basi sija wahi kuwa shabiki wa hao civil services.

Mabeyo tusi mlaumu Sana huwezi jua aliona au kuambiwa kipi.
Usalama sio swala la kuambiwa, ni methodological za risk assessment.

Hawana uwezo, Mabeyo namuonea tu; but a lot has happened since then kuonyesha hawana uwezo.

People tell you moves and what will happen next. and you don’t get.

Kucha zangu na makaburi ya wazazi wangu muda sasa lazima niyaone (inabidi nilinde ndimi zangu); or else usalama wa Tanzania is just stupid.

Binafsi hakuna kinachonishangaza na nilikuwa naandika only I can’t repeat it.

Read Plato’s Republic and focus on ‘ship allegory’ that the essence of civil services.
 
Nime furahi kuona ume kiri mabeyo tusi mlaumu Sana.

Ila hawa civil services naji uliza toka uhuru hawakuwa na back plan ya kubalance mzani?.

serikali iki shika dola, wali takiwa kuwa na task force ya kulinda nchi na ku question baadhi ya mambo.
Wao Wana kuja kushituka 2024
 
Back
Top Bottom