Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
Wana JFA aliyemwelewa britanicca ajaribu kusaidia kufungua Code.
 
Hayo ni maswala ambayo mtu mwenye akili timamu anatakiwa kujiuliza kama.

Senior civil servants fikra hizo zinatakiwa kuwa juzuu yao (kufanya risk assessment).

Civil service ya maana wangę changamkia fursa JK alipotoa ruhusu ya kubadili katiba wakaacha kupigania maslahi ya kupunguza madaraka na nguvu za raisi kuteua kirahisi nafasi zao.

Guess what mzee Warioba alikuwa against that idea too (wacha Makonda amzabee vibao babu ni useless tu kwa upande wangu).

Siasa kama discipline nyingine yeyote ina risk assessments zake kwa maslahi ya muda mrefu wa taifa. This is the essence of Plato’s ship allegory and what made his case for being the best philosopher of all time.

Ndio msingi wa usalama wa taifa ni kuwa mchezo wa watu wenye akili, kuna demu namjua mwajiriwa wa mambo ya nje (probably njagu) serikali imemsomesha chuo kikubwa (wanawalipia vyuo vikubwa).

Ila huyo demu wakati tuko shule wenzake walikuwa wanamgalagaza sana hakuwa na uwezo.

Sasa hizo nafasi sio za mzaha.

Na sisemi hawatafuti talent, ila sio lazima wawe diaspora ni jukumu lao kuokota watu wenye sifa sahihi na kuwapika based on intelligence.

Kuna watu wengi wanaufaulu wa 1.7 form four, 1.3 A’level na first class degrees za undergraduate hawa ndio candidates wa kwanza.

Get serious

Mkali, mkali tu; kuna demu ninaemjua alikuwa mkali utotoni. Future yake private kagombewa sana, kashika senior position nyingi (akiwa na options) za taasisi zinazomtaka na kumuongezea dau, sasa hivi yupo kwenye senior position za shell, wengine wako UN seniors.

Serikalini wengi unga, unga tu; kwa ninao wajua waliopo huko.
Guess hata Sasa hivi uki wauliza vision ya civil service Yao wata kwambia ni kulinda usalama wa watu.

Wana sahau Kuna angle ya kiuchumi, afya, ambapo una shangaa sekta fulani nyeti ana pewa kanjanja asiye na ujuzi nayo.

Nenda mikoa ya ndani ndani zahanati ni mbovu mnoo, halafu Kuna watu wapo wana kwapua tons of money kwenda kuficha.
 
Na yote yawe kheri!
 
Hawawezi kuwa na uchungu na nchi sababu mtu kama Mwigulu ameshaanza kumuandaa mtoto wake kushika hizo nafasi, unategemea dogo kama yule atakuja kuwa na uchungu na hii nchi lini?
Acha Amuandae tu mzee, Uzuri wa Mazingira bana yana mambo mengi sana na Ambae huwa wana ascend to the top huwa ni Unpredictable kabisa,

Ndio mana leo unaona Kuna watoto wa watawala walipewa best education na Maandalizi mazuri ila Hawapo tena Kwenye top chain ya Kuamua Muelekeo wa Nchi, Wamebaki kubebwa kwenye Post za ubalozini na za Umoja wa mataifa ila wandewa Wenyewe ni watu waliopita background za Kawaida tu
 
Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
Britanicca, tunakuamini kwa kutupatia habari kutoka source sahihi za ndani kabisa.

Tutafuatilia uzi huu hadi mwisho.
britanicca mambo yake huwa ya kweli.. japokuwa sijaelewa code hii vizuri.. inabidi niendelee kufuatilia uzi huu kwa karibu sana
Wewe hauna tofauti na Dr William wa USA kwa utabiri wa kugeneralize mambo.

Fore-shadowing Conspiracy Propaganda
 
Rohoni ana ulinzi wa majini si mchezo, anahisi hatari kabla ya hatari,
Kina kirefu rohoni, itawezekana?
Ndo hivyo
Rohoni tayari 100%

Narudia chawa, hizo pesa wekeni, maana mambo yakishageuka sijui mtakula wapi?
Mtaanza kulialia kuhaha na press km g55? Shauri yenu 🤣

Shauri yenu ,mark my words.
 
Miaka ya zamani tulipokuwa tunaenda kuwinda maporini tukiwa na Mbwa wetu, ilikuwa mkifika eneo la target ilikuwa wote tunakaa kimya huku tukitumia Lugha ya ishara kuwasiliana

Lengo ilikuwa kumfanya target ahisi yupo salama kumbe amezingirwa na Mbwa pamoja na wawindaji wenye Mikuki na mapanga
 
Kuna nyuzi nyingi sana humu za kumsifia Mabeyo kwa kile kinachosemakana alikifanya,

Yani kwamba Kasim, Ndugai, Bashiru na wengineo wote walikuwa hawana akili ila yeye Mabeyo tu wakati wote hao walikuwa jikoni kabisa?

Magufuli alikuwa haendani kabisa na watu wenye akili ndogo ndio maana kuna kipindi tuliambiwa mtu alitaka kujiuzuru sababu hashirilishwi mambo! Utamshirikishaje mtu mwenye akili ndogo namna hii.?
Waliomsifia mabeyo siwashangai maana mpaka leo kuna machawa wengi sana wanasifu na kuabudu.
Kuna wazalendo wengi waliona mwamba alizingua sana nadhani hata yeye nafsi inamsuta.
 
Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
Mkuu, ule uzi uliyo post jana umeufuta??
 
Back
Top Bottom