Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Utakuwa umeshakuwa mifupa o, na kuwa udongo kabisa, na fuvu langu kuonekana huko romboNatabiri kufikia mwaka 3050 wana JF hatutakuwa hai.
Nina uhakika na ninachosema.
Utakuwa umeshakuwa mifupa o, na kuwa udongo kabisa, na fuvu langu kuonekana huko romboNatabiri kufikia mwaka 3050 wana JF hatutakuwa hai.
Nina uhakika na ninachosema.
Umeona jinsi nilivyokuwa mtabiri mzuri?Utakuwa umeshakuwa mifupa o, na kuwa udongo kabisa, na fuvu langu kuonekana huko rombo
Alizingua sana!Waliomsifia mabeyo siwashangai maana mpaka leo kuna machawa wengi sana wanasifu na kuabudu.
Kuna wazalendo wengi waliona mwamba alizingua sana nadhani hata yeye nafsi inamsuta.
Sawa, Lissu sio leadership , leadership material ni huyo secretary wa Boss aliyepo hapo ikulu.Upande mwingine wa dunia Pacers are on massacre mood, poor Cleveland.
Split talent always beats, superstar reliable teams.
Kwa upande wa siasa, a strong civil services always; beats politicians ambitions kwenye maslahi ya taifa,
Bila ya katiba ya kupunguza teuzi za raisi. Hakuna miujiza itakayotokea anytime soon.
Uongozi uliopo ni wa hovyo na hao mbadala ndio hovyo kweli kweli.
Suluhisho la Tanzania ni strong civil services, sio waropokaji wa vyama vya siasa (ooh my god, kuna watu kabisa wanaamini Lissu ni leadership material), lazima awaitakii nchi mema.
bendera fuata upepo.Kalaga bahooo
Fuatilia post zake🤣
Lkn pia ukiacha Britannica ,mbona tushasema sn humu 🤣
Utaona Kwa macho Yako
Taahira ni yule anayedai watu kutekwa na kupotezwa/ kuuawa ni drama, na huyo hata wewe mwenyewe unamfahamu vyema, mikono yake imejaa damu, hadi msaidizi wake kaamua kukataa kazi.Shida ni weak system, intelligence ni mchezo wa predictability.
Kinachoendelea sasa ni predictable, uwezi kupanda mabua, uvune miwa.
Mabeyo alifanya makosa, kuzuia wenzake kupindua męża.
The worst is yet to come, trust me.
Regardless, Lissu sio solution maana huyo ni taahira zaidi.
Civil servants hasa seniors ni nafasi za watu wenye akili, wajipange nchi wanaikomboa vipi.
Mbele sio kuzuri kwa aina hii ya uongozi.
Hata mimi nazipenda hasa zikiwahusu wale wanaoona ujanja kuwatanguliza wengine ili wao waendelee kutapanya. Kwani wewe ukisikia yule kibaka aliyekuwa anasumbua mtaani kwako kaondoshwa, hutafurahi!?Hizi ndio habari wanapenda wabongo
Drama, bad news, ubashiri na uchawichawi
Hasa zikihusu maumivu Kwa mtu
Sasa huyo nyoka sisi tunamfahamia wapi? Nyoka ni dude baya!Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania
Hii imethibitishwa kabisa 😂Natabiri kufikia mwaka 3050 wana JF hatutakuwa hai.
Nina uhakika na ninachosema.
Tuchange bukubuku tukajenge daraja pale jangwani,mpigie ndugai tuanzishe hiyo kampeniAlizingua sana!
Angalia kauli alizotoa Ndugai ambazo baadae zilimcost uspika wake na kinachoendelea sasa hivi kuhusu mikopo!
Tena na TBS.Hii imethibitishwa kabisa 😂
Mbona sasa Lissu hana sifa hizoHata mimi nazipenda hasa zikiwahusu wale wanaoona ujanja kuwatanguliza wengine ili wao waendelee kutapanya. Kwani wewe ukisikia yule kibaka aliyekuwa anasumbua mtaani kwako kaondoshwa, hutafurahi!?
Sawa mkuuSina cha kusema
TAWIRE.Mbona Kila siku tunasema hapa ila chawa wanabisha,
From July Kila kitu kinaenda kubadirika huko ndani kwao, stay tuned