Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

SS majini ambayo ht aliyeokoka Leo anayatimua Kwa jina la Yesu ndo yamsaidia nn?😂mbona mpk SS hayajamsaidia?

Ni kweli Kuna vita ya kiti, kuna uamsho mkubwa sn unakuja kwenye hii nchi
So nadhani umeielewa kiti anatakiwa atakaekikalia aweje ndo maana sio suala la mti ni suala la majira na nyakati Mungu ana mtu anamtaka akae hapo atakaetumika kutimiza kazi yake.


SS majini ambayo ht aliyeokoka Leo anayatimua Kwa jina la Yesu
Je wanaoomba na kuyatimua majini yaliyomzunguka na yaliyo ndani yake wapo?
 
Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
Sasa hivi hatuwaiti manabii au watabiri bali tunawaita wapiga ramli!
 
Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
Mmh, unajiongelesha tu, ili likitokea lolote, useme kwamba ulisema..
 
Hayo ni maswala ambayo mtu mwenye akili timamu anatakiwa kujiuliza kama.

Senior civil servants fikra hizo zinatakiwa kuwa juzuu yao (kufanya risk assessment).

Civil service ya maana wangę changamkia fursa JK alipotoa ruhusu ya kubadili katiba wakaacha kupigania maslahi ya kupunguza madaraka na nguvu za raisi kuteua kirahisi nafasi zao.

Guess what mzee Warioba alikuwa against that idea too (wacha Makonda amzabee vibao babu ni useless tu kwa upande wangu).

Siasa kama discipline nyingine yeyote ina risk assessments zake kwa maslahi ya muda mrefu wa taifa. This is the essence of Plato’s ship allegory and what made his case for being the best philosopher of all time.

Ndio msingi wa usalama wa taifa ni kuwa mchezo wa watu wenye akili, kuna demu namjua mwajiriwa wa mambo ya nje (probably njagu) serikali imemsomesha chuo kikubwa (wanawalipia vyuo vikubwa).

Ila huyo demu wakati tuko shule wenzake walikuwa wanamgalagaza sana hakuwa na uwezo.

Sasa hizo nafasi sio za mzaha.

Na sisemi hawatafuti talent, ila sio lazima wawe diaspora ni jukumu lao kuokota watu wenye sifa sahihi na kuwapika based on intelligence.

Kuna watu wengi wanaufaulu wa 1.7 form four, 1.3 A’level na first class degrees za undergraduate hawa ndio candidates wa kwanza.

Get serious

Mkali, mkali tu; kuna demu ninaemjua alikuwa mkali utotoni. Future yake private kagombewa sana, kashika senior position nyingi (akiwa na options) za taasisi zinazomtaka na kumuongezea dau, sasa hivi yupo kwenye senior position za shell, wengine wako UN seniors.

Serikalini wengi unga, unga tu; kwa ninao wajua waliopo huko.
Mkuu, Machiavelli alielezea hii "Why the most stupid people ends in power" hapa
View: https://youtu.be/Ix4nKNDKhTQ?feature=shared

Kama nchi, tunahitaji kuwatoa hawa watu kwenye system. Case study ya modern times walioweza ni Singapore
 
Natabiri kufikia mwaka 3050 wana JF hatutakuwa hai.

Nina uhakika na ninachosema.
Kuna mahali nimesoma this week, kwamba kwa mujibu ya watafiti wa kisayansi,kuanzia mwaka 2050 mtu kufariki itakuwa ni "optional" - yaani ukichoka kuishi utaamua mwenyewe kufa. Wameshagundua hadi mbinu za kuzuia tusizeeke. Stay tuned
 
Je wanaoomba na kuyatimua majini yaliyomzunguka na yaliyo ndani yake wapo?
Tupo kibao
KwanZa hiyo level ya chini
Ulimwengu wa roho una level, iwe kwenye Nuru au giza Kuna level

Deep, deeper and deepest!
Kwa sisi huku wa nuruni vile unavyomtafuta Mungu ,kusoma neno lake,kuomba,kufunga ndo nguvu za Mungu zinaongezeka, vice versa is true!

Ht shetani au watu wanaotumika upande wa pili wanajua , rejea ,matendo ya mitume pale , wale Wana wa skewa walikuwa wanamtoa mtu mapepo ,wao walijua ni biashara km walivyomuona mtume Paulo anafanya kufungua watu pepo likawajibu," Paulo tinamjia ,Yesu tinamjia ,nyinyi ni nani?....."

So kabla hujaingia kupambana jua level Yako .
Efeso 6:10 utaona level za ulimwengu wa roho" kivita"....
So wapoo Kwa level tofauti

Sshv kwanza hatuhangaiki na majini,mapepo cheo Cha chini hiko ,hii ni vita ya "falme" rank ya mwisho kabisa ....
 
Umechungulia kwa babu au?🤔
😳🙄😁Babu ? Wa nn Babu na Mungu yupo na anasema Kila siku na Kila mtu.

Ht we ukimuuliza atasema tu .
Njia moja wapo rahisi ya Mungu kusema ni pale unapoliombea jambo
Huwezi tenga muda wako ukaombea nchi halafu Mungu asikupe taarifa , never!
Lzm akupe taarifa Ili ujue namna ya kuombea ,km Kuna vya kuzuia au taarifa ya yajayo ,etc
Amosi 3:7, Ayubu 33:14-17
 
Back
Top Bottom