Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,616
- 14,106
Naona mwendo wa dark day na vita juu ya kugombea nafasi huko kwenye ulaji,Kuna fuka Moshi.
Picha ndo kama linaanza.
Picha ndo kama linaanza.
🤣🤣🤣Tenda Miujiza, Mwaka Huu Usiishe Bila Kutenda Miujiza
Hujasema kitu mkuu sema na wewe nenoKwamba jamaa watachezes cheusi na cheupe mtu ajikute nje ya kiti? Atafungiwa luteka? Haya ngoja tusubiri mm nimesha staafu
Kijana wa Al Shabab vipi tena, kuna nini mnalipanga hapa nchini?Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania
Nyie vijana wa Kimujahadeen mna kazi kweli, mnataka kulipua nini tena kabla ya hiyo tarehe?Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania
Manyaunyau ni muhuni yule mtumanyau nyau
Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania
Mi na wewe sawa, lakini si wote waliopo Jf watakuwa washadanja!Mbona easy tu . kabla ya 2070 mimi,wewe na Samia tutakua tushakufa.
Upo kucomment kwa mkakati!Upande mwingine wa dunia Pacers are on massacre mood, poor Cleveland.
Split talent always beats, superstar reliable teams.
Kwa upande wa siasa, a strong civil services always; beats politicians ambitions kwenye maslahi ya taifa,
Bila ya katiba ya kupunguza teuzi za raisi. Hakuna miujiza itakayotokea anytime soon.
Uongozi uliopo ni wa hovyo na hao mbadala ndio hovyo kweli kweli.
Suluhisho la Tanzania ni strong civil services, sio waropokaji wa vyama vya siasa (ooh my god, kuna watu kabisa wanaamini Lissu ni leadership material), lazima awaitakii nchi mema.
Watanzania bwana si mmetoka.kumsifia juzi tuMkuu umeongea sahihi kabisa. Mimi huwa nawaza sana kuhusu jambo hili. Inamaana nchi hii tumekosa kiongozi bora mpaka mambo yaendelee kwenda hivi yanavoenda na watu wanaangalia tu?
Mabeyo alitukosea sana watanganyika. Alikuwa na nafasi kubwa sana ya kutuepusha tusifike hapa lakini hakufanya hivyo. Matokeo yake heshima yake yote imepotea na sijui atafanya nini kurekebisha.
Sisemi kwamba lisu anafaa lakini kwa yanayoendelea afadhali hata lisu.
Nahisi baada ya bunge kuvunjwa huko kijani patanuka!Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania
Hahaha.Utabiri wako unawaibia wateja.Kabla ya 2070 kuna msiba mkubwa sana utatokea
Kila siku nasema kuwa, kuna Jambo litakuja kutokea Tanzania mwaka huu. Lipo na linakuja... honestly Sijui ni kitu Gani but kuna kitu kinaniambia kuna Lolote laweza kutokea TanzaniaKabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania
Saa100?Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania
Nyie magaidi wa Zanzibar mmeshaanza tayariKabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania
Simuungi Mwigulu wala simpingi kwa chochote na wala sina bifu nayeHawawezi kuwa na uchungu na nchi sababu mtu kama Mwigulu ameshaanza kumuandaa mtoto wake kushika hizo nafasi, unategemea dogo kama yule atakuja kuwa na uchungu na hii nchi lini?