Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 2,975
- 4,082
Kwa nini kumchelewasha sana?Yule ni mnafiki sana.
Biological weapons now zinatumika tu✊️
Kwa nini kumchelewasha sana?Yule ni mnafiki sana.
Biological weapons now zinatumika tu✊️
HahaaaaaahHakuna kitu watz watafurahia Kama kuonaa mwanandani wa mtu flani unaandaliwa
Yeah uko sahihi kabisa.Yule nae ni kamanda, alipita huko😀.
Hii nchi ukitaka ikae shaped ondoa
1.Mr tabasam
2. Liz moko
3. Yule anajifanyaga anasali mwezi wa 1
4. Nepi
5. Tajr no 3 tz.
Atleast nch itakuw safe.
Huu mkeka wa kubet mi naufuata mazima ingawa odds zake sizijui ila naomba usinipoteze maana nasubiria utiki tu.Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania
Aiseee. Mwl kamsomesha ili asaidie taifa lakini ni kinyume chake.Yule nae ni kamanda, alipita huko
Je, mtu akipata ajali au akichenjwa na majambazi pia ana option ya kuendelea kuishi?😎Kuna mahali nimesoma this week, kwamba kwa mujibu ya watafiti wa kisayansi,kuanzia mwaka 2050 mtu kufariki itakuwa ni "optional" - yaani ukichoka kuishi utaamua mwenyewe kufa. Wameshagundua hadi mbinu za kuzuia tusizeeke. Stay tuned
Ni Kweli Kuna Mambo 😂Nakufuatilia Mtumishi ...kuna mambo
😂 Wonder's shall never endAmen amen.
👇👇
😂😂😂Eti ushungiSawa mkuu.
Kwahyo our God amekuonyesha , ushungi atashuka chini? naomba sana atoke.
Sijawahi kumsifiaWatanzania bwana si mmetoka.kumsifia juzi tu
Akasahau kulinda taifa ona sasa kilichotokea.Mabeyo alilinda katiba
Niko ziarani russia 🇷🇺 subiri nirudi Ouagadougou.Shikamoo kakka ibrahim Traore vipi hapo burkinabe wanasemaje ?
Nataka nije nijiunge kwenye jeshi lako ili na mimi nitambe hapa mtaani kwetu keko machungwa kaka mkubwa
Sawa kaka ,ahsante nitakuwa nakufuatilia ukirudi ili nije kakaNiko ziarani russia 🇷🇺 subiri nirudi Ouagadougou.
Kalisha tu mengi ,fuatilia la BASHITE kulishwa sumu.Utakua mgeni huku mjini, jamaa hajawahi kutulisha tango pori.
Huwezi amini jukumu kubwa ni kulinda viongozi,ofisi za mihimili ya serikali basi ila mambo ya msingi kama afya,uchumi,biashara,elimu,sayansi na technolojia sijawahi ona ushiriki wao.... Wakiona hii wajue kabisaa tunapoona kwa wenzetu tunajiskia vibaya kutwa kushinda na Ndiga za bei kutisha watu barabarani😥😥😥😥Guess hata Sasa hivi uki wauliza vision ya civil service Yao wata kwambia ni kulinda usalama wa watu.
Wana sahau Kuna angle ya kiuchumi, afya, ambapo una shangaa sekta fulani nyeti ana pewa kanjanja asiye na ujuzi nayo.
Nenda mikoa ya ndani ndani zahanati ni mbovu mnoo, halafu Kuna watu wapo wana kwapua tons of money kwenda kuficha.