Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
Hilo jambo lisijekuathiri upandaji wa madaraja Kwa watumishi wa umma hiyo July tafadhali.Kama haliepukiki basi lisogezwe mbele kidogo.
 
Rohoni ana ulinzi wa majini si mchezo, anahisi hatari kabla ya hatari,
Kina kirefu rohoni, itawezekana?
SS majini ambayo ht aliyeokoka Leo anayatimua Kwa jina la Yesu ndo yamsaidia nn?😂mbona mpk SS hayajamsaidia?

Ni kweli Kuna vita ya kiti, kuna uamsho mkubwa sn unakuja kwenye hii nchi
So nadhani umeielewa kiti anatakiwa atakaekikalia aweje ndo maana sio suala la mti ni suala la majira na nyakati Mungu ana mtu anamtaka akae hapo atakaetumika kutimiza kazi yake.


View: https://youtu.be/ZI-wLZGmSGY?si=-SkVaaW5RHLWm1Gw
 
Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
Mungu tubariki Watanzania tulio wema, wale wabaya waangamize.
 
Kuna nyuzi nyingi sana humu za kumsifia Mabeyo kwa kile kinachosemakana alikifanya,

Yani kwamba Kasim, Ndugai, Bashiru na wengineo wote walikuwa hawana akili ila yeye Mabeyo tu wakati wote hao walikuwa jikoni kabisa?

Magufuli alikuwa haendani kabisa na watu wenye akili ndogo ndio maana kuna kipindi tuliambiwa mtu alitaka kujiuzuru sababu hashirilishwi mambo! Utamshirikishaje mtu mwenye akili ndogo namna hii.?

Mobeyo Alikua Yuko sahihi kwasababu alilinda katiba.

Wakati CCM na jpm wanampitisha hawakuuona uwezo wake? Au ndo walikua wanataka kubalance gender?

Two wrong does not make it RIGHT, Mobeyo likua sahihi kwa wakati ule.
 
Utakuwa na kipaji cha kutabiri kama yule mwanasiasa wa chama cha upinzani mwenye jina la kizungu ila kiswahili ni Mungu jalia mLEMAvu.
Jina lake nalihifadhi kwa sababu za kiusalama maana namuheshimu sana huyu namuona kama Nabii flani hivi
 

Attachments

  • Screenshot 2025-05-12 160150.png
    Screenshot 2025-05-12 160150.png
    114.5 KB · Views: 24
Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
Hiyo ni lazima ukisoma alama za nyakati na kuweka attention kwenye kitu kingine.2025 matukio time
 
Ukiwekwa sehemu ambayo unajua kabisa hauja qualify bas automatically you don't deserve it.

Utafanya unachojisikia but other people in the system knows best.

They can't challenge or provoke coz they know once you finish the term there's no coming back.

They know people are suffering, Country gonewild and no hope, the majority needs to see something done.

Which fortunately they'll provide it at last, so that we both can heal.
 
Back
Top Bottom