Alipost kuhusu nini mkuuMkuu, ule uzi uliyo post jana umeufuta??
Niliusoma kidogo, nikasema nikitulia nirud kuusoma tena,.bahati mbaya sijaukuta!Alipost kuhusu nini mkuu
Wana JFA aliyemwelewa britanicca ajaribu kusaidia kufungua Code.
Huyu jamaa si ndiyo alisema makonda amepewa sumu yuko hoi bin taabani muda wowote atakata moto? Huyu jamaa ni muongo muongo aiseeWewe hauna tofauti na Dr William wa USA kwa utabiri wa kugeneralize mambo.
Ahaaaa ahaaaa, labda baadaye akiwa korea alifufuka?Huyo alishamuua dr mpango na baadaye akalowa
Ni mpenda misiba
Kustaafu kwake Vice president kwa nini alisema anataka kuishi zaidi?Huyo alishamuua dr mpango na baadaye akalowa
Ni mpenda misiba
DONT mix up thingsAhaaaa ahaaaa, labda baadaye akiwa korea alifufuka?
Kustaafu kwake Vice president kwa nini alisema anataka kuishi zaidi?
Aiseeee, kwa hiyo mkuu TIMING unataka kusemaje kuhusu mleta post?DONT mix up things
Huyu alisema dr amekufa, na alisema bendera zitapepea nusu mlingoti
Ni nani huyu britanicca? Ngoja nitege sikio.britanicca mambo yake huwa ya kweli.. japokuwa sijaelewa code hii vizuri.. inabidi niendelee kufuatilia uzi huu kwa karibu sana
Jamaa alibahatisha mambo mawili tu ya kupenyezewa na UVCCM anajiona mtu wa kutoa code ,giza nene ni nin? Kabla ya mwezi wa 7 ndiyo nini? Kwanin asiwe specific? na hilo giza nene linahusu nini? Maana kila siku matukio yanatokea!!Huyu jamaa si ndiyo alisema makonda amepewa sumu yuko hoi bin taabani muda wowote atakata moto? Huyu jamaa ni muongo muongo aisee
Huu utabiri lazima utimie hata iwe vipi.Kabla ya 2070 kuna msiba mkubwa sana utatokea
Natabiri kufikia mwaka 3050 wana JF hatutakuwa hai.Kabla ya 2090 kuna jambo kubwa mno litatokea, jambo ambalo halijawahi kutokea tangu uhuru