Sote tunaweza kufikwa. Ni ubinadamu tu kudhani kifo ni kwa tusiyempenda.Yeyote anaweza kufikwa
Halafu siku hizi hakuna weledi huo wa kunyofoa kucha.Kiongozi kuna watu hawajui utani huko serikalini ukijafanya unawajua sana.
Lazima uchunge mdomo wako, vinginevyo wananyofoa kucha.
Ndio kabisa sitaki shida, mlango wenyewe nyumba ninayoishi tunaujua wenyewe wapangaji.Halafu siku hizi hakuna weledi huo wa kunyofoa kucha.
Wanavunja mlango na kupiga hovyo.
Kwahiyo kungoa kucha ni weledi?Halafu siku hizi hakuna weledi huo wa kunyofoa kucha.
Wanavunja mlango na kupiga hovyo.
Umeona video ya migari aliyo-post mwenzako.Kwahiyo kungoa kucha ni weledi?
Je wadhani huyo rafiki ni nani? Yuko wapi,anakaa pande zipi??Kuna member humu kaliandika.. Kuna wale wanaojiita manabii wamelisema wazi bila hofu na kwa njia ya tahadhari
Kuna watabiri wengine nje ya mitandao wanalitajataja.. Nadhani ni sisi tu wazee wa Kilingeni hatujalisema
Inawezekana kabisa kuna mipango inapangwa na marafiki lakini kwa usiri na ustadi na uangalifu mkubwa sana
Kumbukeni Kikulacho ki nguoni mwako.. Sasa hili kama ni kweli huyo/hao adui/maadui rafiki ni nani/ni akina nani?
Je kuna lingine ama ni hili la "matter arising" na ya kwanza
Kuna kuchokana
Kuna kuchwokana
Kuna hisia za kudharauliwa/kudharauliana?
Je zimevuja ama zimevujishwa? Kwa makusudi ama kwa bahati mbaya?
Hujajibu swaliUmeona video ya migari aliyo-post mwenzako.
Wakati nchi ina shida ya umeme, mwenzako magari yake; yenye thamani ya kama $1,000,000 kamayawekea AC.
Inajuwa AC inavyotafuna umeme, kama nyumbani kwako unayo na bill hela inatoka mfukoni kwako,
Inabidi uwe na sababu maalum kweli kutetea upuuzi.
Bora uoga wa kusema, kuliko kutetea ujinga.
Sometimes it’s best to remain quite if you have nothing better to say,
Sheria z utabiri?Utabiri ni uchuro jamani,!!,,angalieni Sheria pia zinasemaje?
Tutendewe ulivyonenaKuna member humu kaliandika.. Kuna wale wanaojiita manabii wamelisema wazi bila hofu na kwa njia ya tahadhari