Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Mwanzo wa ngoma ni lele.
Hafi mtu,Mshindwe katika Jina la YesuKabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania
Kuna waropokaji wenzangu walau ninadhani kuna wasaa nina moral obligation wa kuwaelezea madhara ya comments zao (not many) tuweke mipaka.Hujajibu swali
Kungoa kucha ndio weledi?
Huu mchezo hautaki hasira ujueHaha! acheni nadharia za ajabu ajabu!.
Sisi tunasubiria kwa hamu kubwa tufanye sherehe.Kuna member humu kaliandika.. Kuna wale wanaojiita manabii wamelisema wazi bila hofu na kwa njia ya tahadhari
Kuna watabiri wengine nje ya mitandao wanalitajataja.. Nadhani ni sisi tu wazee wa Kilingeni hatujalisema
Inawezekana kabisa kuna mipango inapangwa na marafiki lakini kwa usiri na ustadi na uangalifu mkubwa sana
Kumbukeni Kikulacho ki nguoni mwako.. Sasa hili kama ni kweli huyo/hao adui/maadui rafiki ni nani/ni akina nani?
Je kuna lingine ama ni hili la "matter arising" na ya kwanza
Kuna kuchokana
Kuna kuchwokana
Kuna hisia za kudharauliwa/kudharauliana?
Je zimevuja ama zimevujishwa? Kwa makusudi ama kwa bahati mbaya?
Wakati wa Mungu kuleta ukombozi kwa watu wake hakuna cha tahadhari wala nini.Mnavyoandika ndo mnampa namna ya kuchukua tahadhari wakati inatakiwa iwe kweli na uhakika kabla ya Juli aondoke
SijuiJe wadhani huyo rafiki ni nani? Yuko wapi,anakaa pande zipi??
mtaambia Nini watu?? watahuzunika sana🥱🏃🏿🏃🏿🥺Nawaza mipango ikifeli akachomoa mtaambia Nini watu?? Kwani hakuna namna nyingine tofauti na parapanda?? Em waje na plan B kama wapo serious.
Wangekaa kimya ili nae arelax ajue mambo yapo sawaMnavyoandika ndo mnampa namna ya kuchukua tahadhari wakati inatakiwa iwe kweli na uhakika kabla ya Juli aondoke
😂😂Km ni la Mungu na Lina sbb Kwa kutokutii maagizo hana namna ya kutoboaMnavyoandika ndo mnampa namna ya kuchukua tahadhari wakati inatakiwa iwe kweli na uhakika kabla ya Juli aondoke
Ngoja tuwasubiri manabii watuambia plan Bmtaambia Nini watu?? watahuzunika sana🥱🏃🏿🏃🏿🥺
Ishi acha mbwembweHuu mchezo hautaki hasira ujue
Waze wa visomo wanakaaga kimya? Ht wao wanapambana sana tu kujua rohoni kukoje😂Wangee kaa kimya ali nae arelax ajue mabo yako sawa
Anyway mi siamini km ni mipango ya watuNawaza mipango ikifeli akachomoa mtaambia Nini watu?? Kwani hakuna namna nyingine tofauti na parapanda?? Em waje na plan B kama wapo serious.
Mi nachoelewa July Kuna mambo yatatokea ila sijui km na hili litakuwa ni miongoni Kwa hayo, ila hili sijui exactly lini litatukia!🙄Kuna member humu kaliandika.. Kuna wale wanaojiita manabii wamelisema wazi bila hofu na kwa njia ya tahadhari
Kuna watabiri wengine nje ya mitandao wanalitajataja.. Nadhani ni sisi tu wazee wa Kilingeni hatujalisema
Inawezekana kabisa kuna mipango inapangwa na marafiki lakini kwa usiri na ustadi na uangalifu mkubwa sana
Kumbukeni Kikulacho ki nguoni mwako.. Sasa hili kama ni kweli huyo/hao adui/maadui rafiki ni nani/ni akina nani?
Je kuna lingine ama ni hili la "matter arising" na ya kwanza
Kuna kuchokana
Kuna kuchwokana
Kuna hisia za kudharauliwa/kudharauliana?
Je zimevuja ama zimevujishwa? Kwa makusudi ama kwa bahati mbaya?