Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

Nilishaishi na mbwembwe nikafanya sanašŸ˜‚ sasa hivi kilichobaki ni makombo tuu🤣
 
  • Thanks
Reactions: K11
Nje ya katiba wengine waliokuwa na uwezo wa ku-challenge nafasi ni ma-CCM. Kukosa imani nae na kum-challenge ndio msingi wa surprise ya teuzi bila ya kuzingatia kanuni.
 
Kama itakua ni bibi chaudere anafanyiwa sub na sir God basi itakua ni kitu bora sana kuwahi kutokea tangu dunia kuumbwa, ngoja niandae bajeti ya kitimoto mzima kabisa
Watu mna roho mbaya!!! amewakosea nini mama wa watu mpaka mumuombee kifo? She is the best president ever; ngojeni ipo siku mtapata hicho mnachokitafuta. atakuja raisi hapa namna atakavyo watesa mtamkumbuka huyu mama wa watu. I love her kwa kweli na ninamuombea heri; wachawi watatangulia wao
 
Mshana Jr ule mpango ni ngumu kuujua sababu kubwa kinachogombana ni maji kwa maji tena maji ya mtoni yote so huwezi tofautisha na ni ngumu kumjua adui. Sijui na sijui ila haikupaswa āœ‹ ili iwe 9ļøāƒ£, maana kuna makundi yalijipanga kitambo, na kibaya kabisa kibaya kabisa kibaya kabisa kibaya kabisa mchezo unachezwa nje ya uwanja na ndani ya uwanja, kama lisu, ua mdude, ua mzee kibao ila moto bado haujakolea hapo unakutq nje ya mfumo acha tu
Mudawote rafiki mwema hakuna kiumbe kinapenda maji kama bata.. Hasa yakiwa na tope! Lakini kamwe hayapendi yakiwa moto! Ni maji yaleyale kakini yakipashwa tu moto anatimua mbio
 
Watu mna roho mbaya!!! amewakosea nini mama wa watu mpaka mumuombee kifo? She is the best president ever; ngojeni ipo siku mtapata hicho mnachokitafuta. atakuja raisi hapa namna atakavyo watesa mtamkumbuka huyu mama wa watu. I love her kwa kweli na ninamuombea heri; wachawi watatangulia wao
Kama wewe unamuona ni bora hiyo ni wewe na ujinga wako usitake kila mtu awe na mawazo ya hovyo kama yako, peleka utoto wako huko
 
Kifo ni fumbo ambalo hakuna ajuaye jibu.

Ni kweli CCM inateka na kuua watu kwa sababu inafurahia mauaji ya wakosoaji. Ndiyo maana CCM, tunasema ni chama cha mashetani.

Lakini wenye Roho wa Mungu, tunaombeana mema. Na ikimpendeza Mungu, hawa wauaji waishi hadi washuhudie uovu wao ukianikwa wazi wakati Taifa litakapokuwa huru kutoka kwa wadhulumaji haki, na waulipie uovu wao.
Fisi hasusiwi wala haachiwi bucha...
 
Ukipenda chongo huona kengeza
Watu mna roho mbaya!!! amewakosea nini mama wa watu mpaka mumuombee kifo? She is the best president ever; ngojeni ipo siku mtapata hicho mnachokitafuta. atakuja raisi hapa namna atakavyo watesa mtamkumbuka huyu mama wa watu. I love her kwa kweli na ninamuombea heri; wachawi watatangulia wao
 
Kuna member humu kaliandika.. Kuna wale wanaojiita manabii wamelisema wazi bila hofu na kwa njia ya tahadhari
Kuna watabiri wengine nje ya mitandao wanalitajataja.. Nadhani ni sisi tu wazee wa Kilingeni hatujalisema

Inawezekana kabisa kuna mipango inapangwa na marafiki lakini kwa usiri na ustadi na uangalifu mkubwa sana

Kumbukeni Kikulacho ki nguoni mwako.. Sasa hili kama ni kweli huyo/hao adui/maadui rafiki ni nani/ni akina nani?

Je kuna lingine ama ni hili la "matter arising" na ya kwanza
Kuna kuchokana
Kuna kuchwokana
Kuna hisia za kudharauliwa/kudharauliana?
Je zimevuja ama zimevujishwa? Kwa makusudi ama kwa bahati mbaya?
Kungekuwa na mpango huo wangekubali kuuweka wazi?
Au ni propaganda zinapikwa na team Msoga ili kuwalaza usingizi wa pono na kuwafariji wenye kudai katiba yenye ubora na maslahi kwa taifa, tume huru na mabadiliko mbalimbali ya uchanguzi?
Na ktk kufarijiwa huko hatimaye Kizee kinafiki na Bi wa Morden Taarabu kukalia tena kigonda.
 
Kama wewe unamuona ni bora hiyo ni wewe na ujinga wako usitake kila mtu awe na mawazo ya hovyo kama yako, peleka utoto wako huko
Mpuuzi mwenyewe. Uchawi sio lazima ubebe tunguri hizi roho zenu mbaya ni zaidi ya wachawi.. Na mkiweza jinyongeni kabisa; hafi wala nini. Mtakufa nyie mtamuacha... SAMIA@2025-2030
 
Ukipenda chongo huona kengeza
Yes she is much far better. Mkae mkijua huo Urais kapewa na Mungu na anayeweza kumnyanga ni Mungu pekee. SAMIA hajawahi kugombea huo Urais, kapendekezwa kuwa Makamu wa Rais hajaiomba hiyo nafasi na Mwenyezi Mungu akampa Urais. Jiandaeni kununa kwa miaka mingine 5 . She is here to remain. wachawi mtakufa mtamuacha.
 
She is here to remain.šŸ˜€šŸ˜€šŸ˜† ulitakiwa kuandika she is here to stay..!
What you just wrote.. Is what we call fantasy contents.. Full of wishful thoughtsšŸ˜€
 
Kuna member humu kaliandika.. Kuna wale wanaojiita manabii wamelisema wazi bila hofu na kwa njia ya tahadhari
Kuna watabiri wengine nje ya mitandao wanalitajataja.. Nadhani ni sisi tu wazee wa Kilingeni hatujalisema

Inawezekana kabisa kuna mipango inapangwa na marafiki lakini kwa usiri na ustadi na uangalifu mkubwa sana

Kumbukeni Kikulacho ki nguoni mwako.. Sasa hili kama ni kweli huyo/hao adui/maadui rafiki ni nani/ni akina nani?

Je kuna lingine ama ni hili la "matter arising" na ya kwanza
Kuna kuchokana
Kuna kuchwokana
Kuna hisia za kudharauliwa/kudharauliana?
Je zimevuja ama zimevujishwa? Kwa makusudi ama kwa bahati mbaya?
Sasa 'myth' za namna hii awe anapewa na copy ya taarifa Msechu.

Ili awe anaandaa na verses kabisa na kuzihifadhi, ili likitokea la kutokea huko mbele ya safari asihamanike, awe ameshajiandaa na kisaikolojia kabisa.

Kazi yake iwe rahisi, ni kujaza jina na wa wasifu wa mhusika na kupanda hewani, tayari.
 
Kungekuwa na mpango huo wangekubali kuuweka wazi?
Au ni propaganda zinapikwa na team Msoga ili kuwalaza usingizi wa pono na kuwafariji wenye kudai katiba yenye ubora na maslahi kwa taifa, tume huru na mabadiliko mbalimbali ya uchanguzi?
Na ktk kufarijiwa huko hatimaye Kizee kinafiki na Bi wa Morden Taarabu kukalia tena kigonda.
Tamati yangu nimeandika haya...

Back
Top Bottom