Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

Sasa 'myth' za namna hii awe anapewa na copy ya taarifa Msechu.

Ili awe anaandaa na verses kabisa na kuzihifadhi, ili likitokea la kutokea huko mbele ya safari asihamanike, awe ameshajiandaa na kisaikolojia kabisa.

Kazi yake iwe rahisi, ni kujaza jina na wa wasifu wa mhusika na kupanda hewani, tayari.
Duh🤔🤔🥺😆😆🏃🏿🏃🏿💪🏿
 
Kijani hatari Sana mjue!yaani wanamtumia Antipas shahidi mwaminifu kama chambo Cha kushughulikiana wao kwa wao ndani yao!!

Hebu cheki,Hadi Sasa tetesi za makam mwenyekiti was kijani,halafu tena msemaji wa Whitehouse ya visiwa Tena ghafla sana,unaanza kuona Kuna ka sequence and series wakati Bado sakata la father halipoa vizuri Mdude nae!!

Unaanza kuona frequency ya matukio ikimtafuta mtu!!

Nakumbuka baada ya maalim seif walifuata kijani FC pale white house kmfuata kabla ya mshindo mkuu!!

Nayaona Yale yale Kwa mbaali!!

Nafikiria kama kawaida yangu!!
Nimetazama mwonekano wa kiongozi wa kisiwa cha Lapenduza kwenye msiba wa msemaji wa whitehouse, nikakumbuka Jp kwenye msiba wa wajina wake Kijazi 19-02-2021, ina fikirisha sana.
 
Mpuuzi mwenyewe. Uchawi sio lazima ubebe tunguri hizi roho zenu mbaya ni zaidi ya wachawi.. Na mkiweza jinyongeni kabisa; hafi wala nini. Mtakufa nyie mtamuacha... SAMIA@2025-2030
Hata nikiwa mchawi ni mimi na utashi wangu so hizo taarabu zako itakua vizuri sana kama ukienda kuimbia wanawake wenzako wa mboga mboga huko, maskini wa akili wewe
 
No reforms no election
Unakumbuka kuna kipindi Kadhi fulani wa mechi aliondoka na mpira kwapani, mechi ilibidi irudiwe kwa Lapenduza Island pekee lakini nyikani kwenyewe hapakuwa na kurudia mechi uwanjani?
Kwa muktadha huo parapanda ikilia lampenduza Island, je mechi upande wa Nyikani itachezwa au na je Kitabu kinasemaje kwa wajuzi wa kitabu cha JMT?
 
There's no strong Metaphysical indicator that the election will be postponed.

But October 2025 is energetically volatile, so expect political surprises or upheavals, possibly in candidates, results, or public sentiment.
 
Hahahahahahahaha...
AKILI YAKO UNAIJUA MWENYEWE
Ni kweli kabisa😀
Unakumbuka kuna kipindi Kadhi fulani wa mechi aliondoka na mpira kwapani, mechi ilibidi irudiwe kwa Lapenduza Island pekee lakini nyikani kwenyewe hapakuwa na kurudia mechi uwanjani?
Kwa muktadha huo parapanda ikilia lampenduza Island, je mechi upande wa Nyikani itachezwa au na je Kitabu kinasemaje kwa wajuzi wa kitabu cha JMT?
Tuta/wata pima upepo.. Pengine maandalizi ya penalty yameshakamilika na wapigaji pia
Ila watanzania wengi hawana kazi, alfajiri tu uzi na unajadiliwa hadi saa sita mchana
Hapana wanayo kazi hii ya kujadili huu uzi
 
Tuupe muda wakati
Dah, mkuu umetulia na kuridhika yaani unasubiri Samia afe! Hii Kali. Kwanini usitumie muda huu kuendelea kuanzisha mamia ya threads za kutuambia ni vipi mnaandaa sherehe zenu za kusherehekea "ushindi🤣🤣🤣" wa kishindo wa tundu lissu hapo oktoba kama mnavyoamini?!!!!!

Anyways, Samia ni Muislamu safi kabisa na hakuna Muislamu asiyejua kuwa Kuna kufa muda wowote. Katika umri wake, bila shaka ameshazika watoto wa kuwazaa mwenyewe Hadi wajukuu......atashangaa nini' likimtokea yeye?!!! Mnajisumbua tu kumtisha kwa hilo, yupo tayari nalo hata Sasa.

Jambo la kupendeza tu, kupitia michango ya nyumbu wote wa chadema chakavu katika mada hii, ni vile kuona kuwa wanakiri kuwa kumbe akitoka Samia anakuja mwingine kutoka kulekule na si lissu.
 
Back
Top Bottom