Dah, mkuu umetulia na kuridhika yaani unasubiri Samia afe! Hii Kali. Kwanini usitumie muda huu kuendelea kuanzisha mamia ya threads za kutuambia ni vipi mnaandaa sherehe zenu za kusherehekea "ushindi🤣🤣🤣" wa kishindo wa tundu lissu hapo oktoba kama mnavyoamini?!!!!!
Anyways, Samia ni Muislamu safi kabisa na hakuna Muislamu asiyejua kuwa Kuna kufa muda wowote. Katika umri wake, bila shaka ameshazika watoto wa kuwazaa mwenyewe Hadi wajukuu......atashangaa nini' likimtokea yeye?!!! Mnajisumbua tu kumtisha kwa hilo, yupo tayari nalo hata Sasa.
Jambo la kupendeza tu, kupitia michango ya nyumbu wote wa chadema chakavu katika mada hii, ni vile kuona kuwa wanakiri kuwa kumbe akitoka Samia anakuja mwingine kutoka kulekule