Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

Kuna member humu kaliandika.. Kuna wale wanaojiita manabii wamelisema wazi bila hofu na kwa njia ya tahadhari
Kuna watabiri wengine nje ya mitandao wanalitajataja.. Nadhani ni sisi tu wazee wa Kilingeni hatujalisema

Inawezekana kabisa kuna mipango inapangwa na marafiki lakini kwa usiri na ustadi na uangalifu mkubwa sana

Kumbukeni Kikulacho ki nguoni mwako.. Sasa hili kama ni kweli huyo/hao adui/maadui rafiki ni nani/ni akina nani?

Je kuna lingine ama ni hili la "matter arising" na ya kwanza
Kuna kuchokana
Kuna kuchwokana
Kuna hisia za kudharauliwa/kudharauliana?
Je zimevuja ama zimevujishwa? Kwa makusudi ama kwa bahati mbaya?
hii inanikumbusha mbali sana na mwalimu wangu wa darasa la kwanza Mwalimu bora sana Mwl Nzongo MWENYEZI MUNGU amweke mahali pema peponi mama yule.
alikuwa tayari kujifanya mjinga zaidi yetu ili sisi atutoe kwenye ujinga wetu na mpaka leo naiona thamani yake.
aliimba na kucheza na sisi pamoja
watoto wangu nyie eee
Mimi mama yenu..ee
sina nguvu tena ee
wa kuua simba ee
simba ni mkali ee
aliua aliua babu ee
akaua baba ee
akaua kaka ee
Haidhuru piteni
wacha tuendelee tutafanyaje ikiwa mtindi umegeuka sukari guru
 
Kuna member humu kaliandika.. Kuna wale wanaojiita manabii wamelisema wazi bila hofu na kwa njia ya tahadhari
Kuna watabiri wengine nje ya mitandao wanalitajataja.. Nadhani ni sisi tu wazee wa Kilingeni hatujalisema

Inawezekana kabisa kuna mipango inapangwa na marafiki lakini kwa usiri na ustadi na uangalifu mkubwa sana

Kumbukeni Kikulacho ki nguoni mwako.. Sasa hili kama ni kweli huyo/hao adui/maadui rafiki ni nani/ni akina nani?

Je kuna lingine ama ni hili la "matter arising" na ya kwanza
Kuna kuchokana
Kuna kuchwokana
Kuna hisia za kudharauliwa/kudharauliana?
Je zimevuja ama zimevujishwa? Kwa makusudi ama kwa bahati mbaya?
Hata wewe unaweza kufa vilevile

Naona tunajivika madudu above our paycheck

Huyo aliyeenda toba may come back na mkawa wote

Magu alikufa before Lowassa, na wengi wamekufa wakiuguza wagonjwa

Count your blessings bro…. Probably your days are done as well
 
Nawaza mipango ikifeli akachomoa mtaambia Nini watu?? Kwani hakuna namna nyingine tofauti na parapanda?? Em waje na plan B kama wapo serious.
Mnanikumbusha watu waliochomoa betri la gari lililo dondoka ili waibe mafuta badala yake walichomoa uhai wao

Funzo hapa unaweza ukawa busy kuchomoa uhai wa watu, (wapinzani), ukidhani wewe utabaki salama, (ishi milele), mara nyingi hilo zoezi na wewe ndiye unachomoka fasta kuliko ulivyo kuja, kuliko ulivyo panga kuwachomoa watu uhai wao
 

Attachments

  • IMG_20250307_105627.jpg
    IMG_20250307_105627.jpg
    785.1 KB · Views: 22
Watu mna roho mbaya!!! amewakosea nini mama wa watu mpaka mumuombee kifo? She is the best president ever; ngojeni ipo siku mtapata hicho mnachokitafuta. atakuja raisi hapa namna atakavyo watesa mtamkumbuka huyu mama wa watu. I love her kwa kweli na ninamuombea heri; wachawi watatangulia wao
Nchi haipaswi kuongozwa na utashi wa mtu bali mifumo imara. NO REFORMS,NO ELECTION
 
Kuna wingu la mvua ya baraka
Kuna wingu la mvua ya laana
Kuna wingu la mvua ya majanga
Kuna wingu la mvua ya radi na kimbuka
Yote ni mawingu
Sasa kaka Mshana mawingu kama hayo si huwa yapo siku zote?. Kuna wingu gani jipya kabisa hapo?😄
 
Wazungu wanasema ukishindwa kupambana nao, badi jiunge nao.

Nakubali kikulacho ki nguoni mwako.

Mamluki wapo kila kona, wake na waume, chadema hata ccm.
 
Hata wewe unaweza kufa vilevile

Naona tunajivika madudu above our paycheck

Huyo aliyeenda toba may come back na mkawa wote

Magu alikufa before Lowassa, na wengi wamekufa wakiuguza wagonjwa

Count your blessings bro…. Probably your days are done as well
Am here to stay.. Mark these words .. Eleweni kilichoandikwa
 
MaCCM yanayo muhujumu mama yatajwe na yapigwe 'makwaju' hadharani. Ehh -uvumilivu basi. Mama tano tena. Zanzibar oyee.
 
Back
Top Bottom