Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

Ningekua Abdul mtoto wa mkojani ningelopoka"Mamaweeeh hebu waachie linchi lao mama ,kalee wajukuu wako,sitaki kukupoteza kabisa"

Tatizo kuu ni kuutaka upili ambao waliompa ukwanza hawataki achukue upili!!

Leo akitangaza kujiengua kwenye mbio,utasikia chawa wakisema upya"mama mtu safi sio mroho wa madaraka huyu mama"

Nawaza!
Jiwe alifia madarakani sababu yakuharibu mambo ya wenzie na kuwageuka ..na pia sababu nyingine ya kula pesa za rambirambi.....

Kizimkazi ni kiongozi safi sana ...nyie wenyewe mlikuwa mnamtukana kwamba eti anaongoza Nchi kwa remote ya msoga..mara Sijui Rais dhaifu...sasa kahamua kufanya vile mlivyozoeshwa na mtangulizi wake
 
Mama bado yupo sana....na akitoka tunampa Nchi Ridhiwani then Abdul ...muandae tu pain killer za kutosha kubugua kwa maumivu ya nafsi
 
Jiwe alifia madarakani sababu yakuharibu mambo ya wenzie na kuwageuka ..na pia sababu nyingine ya kula pesa za rambirambi.....

Kizimkazi ni kiongozi safi sana ...nyie wenyewe mlikuwa mnamtukana kwamba eti anaongoza Nchi kwa remote ya msoga..mara Sijui Rais dhaifu...sasa kahamua kufanya vile mlivyozoeshwa na mtangulizi wake
Mtu hawezi kufa eti kuna kundi linamwombea kifo. Magu siku yake ilifika, kwa hiyo kila unayetofautiana naye au usiyempenda anakufa? Who are you? Ndio maana hao chadomo wanaitwa nyumbu, hawana akili kabisa, ni zero brain
 
Kwangu Mimi,mama ni kikwete aliechangamka,alikua anaenda vizuri TU bila shida,Sasa sijui akaingia mkenge wa maadui zake akaanza kampeni mapema kabla ya muda,wahuni wakamharibia Hadi leo anahaha tu!!
 
Akisikia mhusika anayelengwa na jambo hili, utasikia ,hii ni "drama"🤣🤣🤣 halafu watu wanakula kichwa kiukweli
 
Kuna member humu kaliandika.. Kuna wale wanaojiita manabii wamelisema wazi bila hofu na kwa njia ya tahadhari
Kuna watabiri wengine nje ya mitandao wanalitajataja.. Nadhani ni sisi tu wazee wa Kilingeni hatujalisema

Inawezekana kabisa kuna mipango inapangwa na marafiki lakini kwa usiri na ustadi na uangalifu mkubwa sana

Kumbukeni Kikulacho ki nguoni mwako.. Sasa hili kama ni kweli huyo/hao adui/maadui rafiki ni nani/ni akina nani?

Je kuna lingine ama ni hili la "matter arising" na ya kwanza
Kuna kuchokana
Kuna kuchwokana
Kuna hisia za kudharauliwa/kudharauliana?
Je zimevuja ama zimevujishwa? Kwa makusudi ama kwa bahati mbaya?
Parapanda yenyewe imeshaanza kukikitambo saizi ni muendelezo tuu kama hivi 👇 👇

View: https://www.instagram.com/p/DJtpQWqtame/?igsh=bTBkYThlN3Jmam5q
 
Mimi nasubiri kusikia WACHAWI, walosi/walogi wanasemaje mkuu 'Mshana jr'.
 
Kuna member humu kaliandika.. Kuna wale wanaojiita manabii wamelisema wazi bila hofu na kwa njia ya tahadhari
Kuna watabiri wengine nje ya mitandao wanalitajataja.. Nadhani ni sisi tu wazee wa Kilingeni hatujalisema

Inawezekana kabisa kuna mipango inapangwa na marafiki lakini kwa usiri na ustadi na uangalifu mkubwa sana

Kumbukeni Kikulacho ki nguoni mwako.. Sasa hili kama ni kweli huyo/hao adui/maadui rafiki ni nani/ni akina nani?

Je kuna lingine ama ni hili la "matter arising" na ya kwanza
Kuna kuchokana
Kuna kuchwokana
Kuna hisia za kudharauliwa/kudharauliana?
Je zimevuja ama zimevujishwa? Kwa makusudi ama kwa bahati mbaya?
Hebu weka reference kwa hao waliosema. Tupate risiti. Isije kuwa wewe ndio unasema hapa....
 
Duuu! Au zile sindano zao kazi yake inatimia huo muda???😭, mara oooh ukimeza dawa inafanya kazi taratibu ila ndani ya siku 60 itakuwa umepona kabisa😓
 
Inawezekana kabisa kuna mipango inapangwa na marafiki lakini kwa usiri na ustadi na uangalifu mkubwa sana
'Script' nzima ya sinema imeharikia hapa, kwenye huu mstari. Matumaini pekee yaliyobaki ni kwa sababu tu ya hayo maneno ya mwanzo yalivyotumika hapo.
 
Back
Top Bottom