sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,152
- 48,355
Kitu gani hicho mrembo Tayana-wogMbona Kila siku tunasema hapa ila chawa wanabisha,
From July Kila kitu kinaenda kubadirika huko ndani kwao, stay tuned
Waambieni wamwachie Tundu Lissu
Kitu gani hicho mrembo Tayana-wogMbona Kila siku tunasema hapa ila chawa wanabisha,
From July Kila kitu kinaenda kubadirika huko ndani kwao, stay tuned
KabisaUzuri na wewe ni mmoja wao.
Fuatilia Uzi bwana acha uvivu
Mh! Code ngumu hii
Nimefuatilia, ila nimetoka pakavuFuatilia Uzi bwana acha uvivu
Ndo njia rahisi na nyepesiNi jambo jema kwa ustawi wa nchi. Lakini kwa nini tufikie hayo mabadiliko kwa kuombeana "parapanda italia"?
NaamRamuli chonganishi hizoo
" Nyoka kuingia shimoni kinyume nyume maana yake nini? High Class CODES.Mkuu umeongea sahihi kabisa. Mimi huwa nawaza sana kuhusu jambo hili. Inamaana nchi hii tumekosa kiongozi bora mpaka mambo yaendelee kwenda hivi yanavoenda na watu wanaangalia tu?
Mabeyo alitukosea sana watanganyika. Alikuwa na nafasi kubwa sana ya kutuepusha tusifike hapa lakini hakufanya hivyo. Matokeo yake heshima yake yote imepotea na sijui atafanya nini kurekebisha.
Sisemi kwamba lisu anafaa lakini kwa yanayoendelea afadhali hata lisu.
La sivyo tutakua tumechoka vibayaa sana
Sana. Maana ni miaka mingi inayokuja.La sivyo tutakua tumechoka vibayaa sana
Shida sio CCM kwa sababu CCM ni jina la chama tu ndani yake kuna watu ambao ndio tatizo sugu na chanzo cha umaskin na ujinga wa watanganyikashida sio samia
shida ni ccm.
alikuwepo magufuli katili kaondoka ccm imebaki.
kaja huyu katili mwingine nae ataondoka ccm itabaki.
Point 7 na3 za Tanzania si kipimo Cha intelligence,amini tu...Wachache sana Wana reflect hizo number..wengi ni Cramer intuition zao fupi kama mbilikimoHayo ni maswala ambayo mtu mwenye akili timamu anatakiwa kujiuliza kama.
Senior civil servants fikra hizo zinatakiwa kuwa juzuu yao (kufanya risk assessment).
Civil service ya maana wangę changamkia fursa JK alipotoa ruhusu ya kubadili katiba wakaacha kupigania maslahi ya kupunguza madaraka na nguvu za raisi kuteua kirahisi nafasi zao.
Guess what mzee Warioba alikuwa against that idea too (wacha Makonda amzabee vibao babu ni useless tu kwa upande wangu).
Siasa kama discipline nyingine yeyote ina risk assessments zake kwa maslahi ya muda mrefu wa taifa. This is the essence of Plato’s ship allegory and what made his case for being the best philosopher of all time.
Ndio msingi wa usalama wa taifa ni kuwa mchezo wa watu wenye akili, kuna demu namjua mwajiriwa wa mambo ya nje (probably njagu) serikali imemsomesha chuo kikubwa (wanawalipia vyuo vikubwa).
Ila huyo demu wakati tuko shule wenzake walikuwa wanamgalagaza sana hakuwa na uwezo.
Sasa hizo nafasi sio za mzaha.
Na sisemi hawatafuti talent, ila sio lazima wawe diaspora ni jukumu lao kuokota watu wenye sifa sahihi na kuwapika based on intelligence.
Kuna watu wengi wanaufaulu wa 1.7 form four, 1.3 A’level na first class degrees za undergraduate hawa ndio candidates wa kwanza.
Get serious
Mkali, mkali tu; kuna demu ninaemjua alikuwa mkali utotoni. Future yake private kagombewa sana, kashika senior position nyingi (akiwa na options) za taasisi zinazomtaka na kumuongezea dau, sasa hivi yupo kwenye senior position za shell, wengine wako UN seniors.
Serikalini wengi unga, unga tu; kwa ninao wajua waliopo huko.
Hakuna cha mwezi july wala mwezi oktoba hali ni shwari gharika imetulia kabisaKabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania
Hawa vibopa watatu wa Kanda ya kati wamethibitisha kabisa uwezo wa jamii Yao ambayo tangu zamani huwa hawaaminiki katika misimamo Yao, wapo tayari kuhamia Kwa mtu kuwa watumwa Kwa ujira wa sahani ya ugali tu....Very cheap beings, I am told.Hawawezi kuwa na uchungu na nchi sababu mtu kama Mwigulu ameshaanza kumuandaa mtoto wake kushika hizo nafasi, unategemea dogo kama yule atakuja kuwa na uchungu na hii nchi lini?
Usiijibu radio maana frequency zake huzijui endelea na mada.Hata sijui hiyo conclusion yako umeitoa wapi kupitia michango yangu.
Yaani kuna watu humu mnatabia ya kutoa vitu kutoka vichwani kwenu, kujiandikia mambo na kudhani huo ndio uhalisia.
Seriously where implicitly have I ever supported Lissu or any political party in my posts.
Jeez