Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

"Kabla ya Julai, japo linaweza cheleweshwa kidogo"
Siku chache baadae:
1. Sigombei ubunge. Mgombea awe Mwanaruangwa.
2. Najiuzulu
3. Upcoming...technically exiled CDE ndio mgombea wetu asiyetaka atoke mlango uko wazi.
 
Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
Vipi mwezi wa 7 ni kwa kalenda ya China au Ethiopia?Huyu zwazwa wa kuzua kuna wavimba macho wanamchukulia kwa uzito.Ujinga ni zaidi ya maradhi.
 
Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
Giza NeneπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Oya huu mkeka bado unasoma, baada ya kumuona Captain Tesha, nakubaliana na ww britanicca πŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…