Bianadamu achunguziki tena uchumba ndo mbaya zaidi kila mtu anajifanya malaikaMtu mnakaa miaka mpaka sita mara miezi saba!!.. kwanini..?
hamuoni kama mnapoteza muda,mnachunguzana nini kwani kuna mtu ametokea sayari tofauti na hii..? au umeambiwa unaoana na alien..?
Mnachunguzana tabia kwani kuna tabia gani usiyoijua hapa duniani..? kwani kuna tabia inayotoka nje ya hii dunia..? ama unaetaka kuoana nae amezaliwa na peremende..?
Wiki mbili zinatosha uchumba baada ya hapo ndoa tusichoshane vizazi.
mueleze akikataa rudi haraka jukwaani tutakupa namba za wataalum dada yetu huwezi kukaa miaka yote hiyo unachoshwa kizazi!,fungeni ndoa chap mfanye maisha mengine msikae mnawaza ndoa tu!Kwahiyo unanishaurije mdogo wangu? Shemeji yako akirudi safarini tufunge ndoa moja kwa moja?
Unapooa au kuolewa unachagua partner for life, huo muda unatumika kujua kama ni qualified , ata fit or atakuletea matatizo. Although miaka sita ni mingi, at least mwaka au miaka miwili pamojaMtu mnakaa miaka mpaka sita mara miezi saba!!.. kwanini..?
hamuoni kama mnapoteza muda,mnachunguzana nini kwani kuna mtu ametokea sayari tofauti na hii..? au umeambiwa unaoana na alien..?
Mnachunguzana tabia kwani kuna tabia gani usiyoijua hapa duniani..? kwani kuna tabia inayotoka nje ya hii dunia..? ama unaetaka kuoana nae amezaliwa na peremende..?
Wiki mbili zinatosha uchumba baada ya hapo ndoa tusichoshane vizazi.
hao waliochunguzana muda mrefu mbona wanaachana..?Unapooa au kuolewa unachagua partner for life, huo muda unatumika kujua kama ni qualified , ata fit or atakuletea matatizo. Although miaka sita ni mingi, at least mwaka au miaka miwili pamoja
Kuna relevancy kwenye haya mambo, suala la kuachana lita vary na mtu na mtu,na pia ita depend nini kimetokea na wame invest muda ganihao waliochunguzana muda mrefu mbona wanaachana..?
unajua huko mahakamani ndoa ngapi zinavunjika..?
Mpaka mtakuwa na wajukuu bado mnachunguzana tu! kama kesi ya uhaini vile!!
Yani mtu alelewe huko ntimbwilimbwi na mimi mtopea huko. Tukutane tufunge ndoa bila kujua tabia?Mtu mnakaa miaka mpaka sita mara miezi saba!!.. kwanini..?
hamuoni kama mnapoteza muda,mnachunguzana nini kwani kuna mtu ametokea sayari tofauti na hii..? au umeambiwa unaoana na alien..?
Mnachunguzana tabia kwani kuna tabia gani usiyoijua hapa duniani..? kwani kuna tabia inayotoka nje ya hii dunia..? ama unaetaka kuoana nae amezaliwa na peremende..?
Wiki mbili zinatosha uchumba baada ya hapo ndoa tusichoshane vizazi.
miaka 9 mkuu sasa huyo akawe mke wa mtu mwengine duh!...😂Nimekuwa na mahusiano na Binti Mmoja kwa miaka Tisa, ila nimekuja kumuoa Binti ambaye toka Namfaham mpaka yeye kubeba Mimba ni Mwezi mmoja na Nusu. Mpaka leo nikisema nipewe nafasi ya kuchagua tena basi ntamchagua huyu niliyenaye Mara 1000.
Nilichoamin ni kuwa mke au Mume hatafutwi wala kuchunguza chunguza sio Maembe ya Kiangazi hayo