Kabla ya ndoa ujifunze lipi

....lol!....jamani mie mnanishambulia bureeeee....muulizeni huyu The Finest.

Swali la Nyongeza., Kwani kusujudia ni kwenye kusali pekee?.... hehhe!
The finest, kuna haja ya kuurudisha ule mfano wa mbuzi na kondoo hapa?
Huo mfano wa mbuzi na Kondoo unaweza kuibua mengi hapa aisee.
 
Reactions: Mbu
....lol!....jamani mie mnanishambulia bureeeee....muulizeni huyu The Finest.

Swali la Nyongeza., Kwani kusujudia ni kwenye kusali pekee?.... hehhe!
The finest, kuna haja ya kuurudisha ule mfano wa mbuzi na kondoo hapa?

Mbu kumsujudia Mungu kwenye kusali kuna tofauti na huku mwanamke kumsujudia mumewe. Imeandikwa Umsujudie Mwenyezi Mungu na kumtukuza yeye pekee. Ila sidhani hapa maana ya kumsujudia inafanana na hiyo ya Muumba
 
Reactions: Mbu
NN kuna mtu nilimuuliza akasema Kusujudu ni kuwa chini ya mtu while Kutii sio lazima kuwa chini ya mtu unaweza kuamua kumtii au ukakataa
Hebu angalia kwenye kamusi ya TUKI, ili uwe na mamlaka. ya kuambiwa na mtu hatuwezi kukuamini
 
Mbu, zaburi, na huo waraka kwa waefeso vinakinzana?

...lol, bht wewe ugomvi wako zaburi au viamrishi vyake?...usiwe hivyo bana

Mamushka wasikuzengue bana; Kutii na kusujudu ni vitu viwili tofauti kabisa.

Mi namtii baba yangu, lakini simsujudu hata siku moja!

...lol, kwani 'babu-mkwe' wewe
humtukuzi baba'ko?
 
Mbu acha kutapatapa, swali la msingi lilijibiwa hata uulize la nyongeza?
 
Nini fasili ya "kutii" na "kusujudu"?

Nimejaribu kupitia ka dikshenare ka TUKI.

Kusujudu: Worshiping, implore, instrate......... bowdown to worship
Kutii: Obedience, discpline, servility.........

Sasa wanaojua kimombo wanaweza kututafsiria sie tulioishia form tuu B shule za Lowasa Kata Sekandare skuli.
 
NN kuna mtu nilimuuliza akasema Kusujudu ni kuwa chini ya mtu while Kutii sio lazima kuwa chini ya mtu unaweza kuamua kumtii au ukakataa

Bado mnaongeza ugumu wa haya maneno hebu angalieni TUKI inasemaje kwenye hayo maneno mawili
 
Mbu kumsujudia Mungu kwenye kusali kuna tofauti na huku mwanamke kumsujudia mumewe. Imeandikwa Umsujudie Mwenyezi Mungu na kumtukuza yeye pekee. Ila sidhani hapa maana ya kumsujudia inafanana na hiyo ya Muumba

swadakta,...na huyo Nabii Daudi alijua mipaka hiyo ya sijida na bado akaamrisha wanawake wawasujudie waume zao.
Sujudia mtu ni kumheshimu mtu/kumtukuza (kupita kiasi.)
 
...lol, bht wewe ugomvi wako zaburi au viamrishi vyake?...usiwe hivyo bana...lol, kwani 'babu-mkwe' wewe humtukuzi baba'ko?
Sitaki kuchimba sana, lakini hapo naona kuna tatizo, vinginevyo tujue kipi kiko juu ya kipi (zaburi au waraka kwa waefeso) halafu tufuate hicho. ( just like katiba and subsidiary legislations, katiba will prevail....lol)
 
Asante kamanda! Nimefurahi kuona kuwa hukutaka ligi isiyo na kombe kwa kwenda moja kwa moja kwenye mamlaka husika.

Nitarudi baadae kuzivunja vunja kwa utondoti na kujaribu kuziweka katika muktadha husika hizo maana zilizotolewa na hayo mamlaka yako.
 
...lol, kwani 'babu-mkwe' wewe humtukuzi baba'ko?
Hivi mahari nlishachukuaga au nikutwange faini?

Tukuza: to glorify....

Hapana moskwito.................... I Only glorify the Almighty God

GLORY TO GOD!
 
Ukimaliza utushukie na hiyo Utondoti na Muktadha kwa hisani ya Kaizer
 
Ewaaa! Sasa mi navojua, Mungu ndo pekee aweza kusujudiwa/kuabudiwa na kumtii, lakini mume kumtii na si kumsujudia. Kutafsiri sasa huo mtihani ...
 
swadakta,...na huyo Nabii Daudi alijua mipaka hiyo ya sijida na bado akaamrisha wanawake wawasujudie waume zao.
Sujudia mtu ni kumheshimu mtu/kumtukuza (kupita kiasi.)

Na sidhani kama amri ilikuwa watuheshimu na kututukuza kiaina hiyo kwa kweli maana Mungu asingesema tena yeye ndiye anapwaswa kusujudiwa na kuabudiwa na kutukuzwa na kila kiumbe
Heshima ya mwanaume ibakie kuwa yeye ni kichwa cha nyumba na ndiye mwamuzi wa kila kinachotakiwa kufanyika ila asiwe tuu dictator
 
Mbu acha kutapatapa, swali la msingi lilijibiwa hata uulize la nyongeza?

...haya sasa?....lol! bht jamani mimi si nasoma tafsiri ya maneno?
KAMUSI YA KISWAHILI SANIFU, toleo la pili inasema;

Sujudi.a kt [ele]
1. (kd) tukuza mwenyezi mungu kwa kusujudu
2. heshimu au tukuza mtu kupita kiasi. ~ ka, ~sha, ~wa

sujud.u kt [ele] (kd)
1. gusisha paji la uso chini wakati wa kuswali
2. toa heshima kubwa inayostahili kupewa mwenyezi mungu. ~ ia, ika~, isha~, iwa~
 
Asante kamanda! Nimefurahi kuona kuwa hukutaka ligi isiyo na kombe kwa kwenda moja kwa moja kwenye mamlaka husika. Nitarudi baadae kuzivunja vunja kwa utondoti na kujaribu kuziweka katika muktadha husika hizo maana zilizotolewa na hayo mamlaka yako.
ngoja niandae kadaftari kangu tayari kuandika utondoti...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…