bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
Okoa jahazi basi, naona unalizamisha tena!Nini fasili ya "kutii" na "kusujudu"?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okoa jahazi basi, naona unalizamisha tena!Nini fasili ya "kutii" na "kusujudu"?
Bado mwaendelea ku'tiiana' na ku'sujudiana'?
NN kuna mtu nilimuuliza akasema Kusujudu ni kuwa chini ya mtu while Kutii sio lazima kuwa chini ya mtu unaweza kuamua kumtii au ukakataaNini fasili ya "kutii" na "kusujudu"?
Eeeh angalia usije ukaongeza ugumu kwenye mjadala, maana hapa tunatatizwa na maneno mawili mpaka sasa, na wewe moja umeanza kulinyongorota tena....mweeh!Bado mwaendelea ku'tiiana' na ku'sujudiana'?
Huo mfano wa mbuzi na Kondoo unaweza kuibua mengi hapa aisee.....lol!....jamani mie mnanishambulia bureeeee....muulizeni huyu The Finest.
Swali la Nyongeza., Kwani kusujudia ni kwenye kusali pekee?.... hehhe!
The finest, kuna haja ya kuurudisha ule mfano wa mbuzi na kondoo hapa?
....lol!....jamani mie mnanishambulia bureeeee....muulizeni huyu The Finest.
Swali la Nyongeza., Kwani kusujudia ni kwenye kusali pekee?.... hehhe!
The finest, kuna haja ya kuurudisha ule mfano wa mbuzi na kondoo hapa?
Hebu angalia kwenye kamusi ya TUKI, ili uwe na mamlaka. ya kuambiwa na mtu hatuwezi kukuaminiNN kuna mtu nilimuuliza akasema Kusujudu ni kuwa chini ya mtu while Kutii sio lazima kuwa chini ya mtu unaweza kuamua kumtii au ukakataa
Mbu, zaburi, na huo waraka kwa waefeso vinakinzana?
Mamushka wasikuzengue bana; Kutii na kusujudu ni vitu viwili tofauti kabisa.
Mi namtii baba yangu, lakini simsujudu hata siku moja!
Nini fasili ya "kutii" na "kusujudu"?
NN kuna mtu nilimuuliza akasema Kusujudu ni kuwa chini ya mtu while Kutii sio lazima kuwa chini ya mtu unaweza kuamua kumtii au ukakataa
Mbu kumsujudia Mungu kwenye kusali kuna tofauti na huku mwanamke kumsujudia mumewe. Imeandikwa Umsujudie Mwenyezi Mungu na kumtukuza yeye pekee. Ila sidhani hapa maana ya kumsujudia inafanana na hiyo ya Muumba
Sitaki kuchimba sana, lakini hapo naona kuna tatizo, vinginevyo tujue kipi kiko juu ya kipi (zaburi au waraka kwa waefeso) halafu tufuate hicho. ( just like katiba and subsidiary legislations, katiba will prevail....lol)...lol, bht wewe ugomvi wako zaburi au viamrishi vyake?...usiwe hivyo bana...lol, kwani 'babu-mkwe' wewe humtukuzi baba'ko?
Nimejaribu kupitia ka dikshenare ka TUKI.
Kusujudu: Worshiping, implore, instrate......... bowdown to worship
Kutii: Obedience, discpline, servility.........
Sasa wanaojua kimombo wanaweza kututafsiria sie tulioishia form tuu B shule za Lowasa Kata Sekandare skuli.
Hivi mahari nlishachukuaga au nikutwange faini?
...lol, kwani 'babu-mkwe' wewe humtukuzi baba'ko?
Ukimaliza utushukie na hiyo Utondoti na Muktadha kwa hisani ya KaizerAsante kamanda! Nimefurahi kuona kuwa hukutaka ligi isiyo na kombe kwa kwenda moja kwa moja kwenye mamlaka husika.
Nitarudi baadae kuzivunja vunja kwa utondoti na kujaribu kuziweka katika muktadha husika hizo maana zilizotolewa na hayo mamlaka yako.
Ewaaa! Sasa mi navojua, Mungu ndo pekee aweza kusujudiwa/kuabudiwa na kumtii, lakini mume kumtii na si kumsujudia. Kutafsiri sasa huo mtihani ...Nimejaribu kupitia ka dikshenare ka TUKI.Kusujudu: Worshiping, implore, instrate......... bowdown to worshipKutii: Obedience, discpline, servility.........Sasa wanaojua kimombo wanaweza kututafsiria sie tulioishia form tuu B shule za Lowasa Kata Sekandare skuli.
swadakta,...na huyo Nabii Daudi alijua mipaka hiyo ya sijida na bado akaamrisha wanawake wawasujudie waume zao.
Sujudia mtu ni kumheshimu mtu/kumtukuza (kupita kiasi.)
Mbu acha kutapatapa, swali la msingi lilijibiwa hata uulize la nyongeza?
ngoja niandae kadaftari kangu tayari kuandika utondoti...Asante kamanda! Nimefurahi kuona kuwa hukutaka ligi isiyo na kombe kwa kwenda moja kwa moja kwenye mamlaka husika. Nitarudi baadae kuzivunja vunja kwa utondoti na kujaribu kuziweka katika muktadha husika hizo maana zilizotolewa na hayo mamlaka yako.