Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,189
- 6,140
Luka 13:32
Yesu akawajibu, “Nendeni mkamwambie huyo mbweha hivi: ‘Leo na kesho ninafukuza pepo na kuponya wagonjwa, na siku ya tatu nitakamilisha kazi yangu.’
Kabla ya uchaguzi, Wati walishasema uchaguzi huu usifanyike kwanza, Tupishe njia za haki zisimame vyema, Ombi hilo likakataliwa ikaonekana ni kheri watu wafe na chama kimoja kishinde lakini si haki kutamalaki.
Kulikuwa na njia nyingi kuepusha umwagaji DAMU, lakini walichagua kumwaga DAMU. Masikitiko zaidi ni kwamba mpaka sasa hakuna aliyewajibika. Yesu aliwaita Mbweha watawala waliokwenda kinyume na haki, Waliojifanya miungu watu wakasahau falme na serikali zote zipo chini ya Mungu.
Kwa muktadha huu, Mbweha ni nani?