Pre GE2025 Kabla ya Uchaguzi Mkuu, viongozi wafuatao hawatakiwi kuendelea na nyadhifa zao. Hawana sifa na wamepoteza mvuto kwa jamii

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
( 1) Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba, anaonekana kama Wizara ya Fedha ni mali yake na ni kama aliyemteua kapigwa upofu huyu mtu ni hatari sana katika kusimamia mambo ya fedha za nchi na Kuna viashiria vingi vya ufisadi tunahisi huenda Kuna Siri kubwa kati yake na aliyemteua.
(2)George Simbachawene imetosha apumzike uwaziri hana Tena tija kwa mfumo uliopo sasa Yuko pale kama kutunziana heshima tu) (3) Waziri wa Uchukuzi kutoka Zanzibar ndugu Makame Mbarawa apishe vijana wachukue nafasi muda aliotumika pale wizarani inatosha nafasi kama hizo kwa sasa wanatakiwa kupewa vijana damu changa hatakiwi kumaliza hata wiki pale wizarani
(4) Waziri wa Michezo na burudani paramagamba kabudi hakutakiwa kuwa pale labda kwa sababu wanapeana kama zawadi lakini nafasi kama zile wanatakiwa vijana aondoke vijana waingie wapige kazi
5) Waziri wa Maliasiri na Uvuvi apishe waingie vijana damu Changa labda kwa sababu wanateuana kama zawadi ila hakutakiwa kuwa pale Tena 2025 imetosha.

(6) Waziri wa Rlimu ndugu yule ana sera za kisiasa ambazo haziwasaidii wasomi wa nchi hii ,sekta ya elimu inazalisha walimu ambao Haina pa kuwapeleka.

(7)Waziri wa Katiba na Sheria tumechoka kumsikia apumzike apishe damu changa uongozi hauwezi kuwa unazunguka kwa wale wale tu !

NB: Haya ni maoni yangu binafsi ombwe la viongozi wa zama za mkapa, jakaya na magufuli wanatakiwa kupumzika na uwaziri uwe na kikomo ikiwezekana miaka mitano tu.

Kuna mijitu tangia mwaka 2000 mpaka Leo Bado ni mawaziri ni kama nchi hii Haina kizazi kipya na inaonekana teuzi ni zakupeana kwa kujuana ama na wazazi wako au babu na bibi yako! Kama Hauna ndugu aliyewahi kuwa kiongozi sahau kuhusu teuzi mpya zenye sura mpya.

Kinyume chake utasikia Kila mwaka Nape, Makamba, Nape Makamba nikama tumekuwa na nchi tasa isiyoweza kuzalisha viongozi wapya
 
Wewe kila kiongozi umechoka kumsikia.
Haya ngoja uteuliwe wewe ambaye hata ID unatumia fake.
Turudi kwenye vyeti feki +watumishi hewa.
 
Hakuna kipindi JF Jukwaa la Siasa limevamiwa kama sasa!
 
Gentleman,
wananchi wapiga kura na waTanzania ndio hasa waamuzi wa mwisho wenye fursa na nafasi ya kuamua kidemokrasia na kwa uhuru wao, jua ya nani hasa ndie anafaa awe kiongozi wa eneo lao na Taifa lao, na sio utaratibu mwingine wowote wa kishirikina na chuki binafsi :pulpTRAVOLTA:
 
Unatafuta kurogwa wewe,Mwigulu ni mkali kwa ndumba ana jopo la masangoma mmoja ni bikizee mmoja ana titi moja na jicho moja huyo ajuza ni hatari sana. Ndiyo maana anajiamini kupita kiasi.
 
( 1) Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba, anaonekana kama Wizara ya Fedha ni mali yake na ni kama aliyemteua kapigwa upofu huyu mtu ni hatari sana katika kusimamia mambo ya fedha za nchi na Kuna viashiria vingi vya ufisadi tunahisi huenda Kuna Siri kubwa kati yake na aliyemteua.
(2)George Simbachawene imetosha apumzike uwaziri hana Tena tija kwa mfumo uliopo sasa Yuko pale kama kutunziana heshima tu) (3) Waziri wa Uchukuzi kutoka Zanzibar ndugu Makame Mbarawa apishe vijana wachukue nafasi muda aliotumika pale wizarani inatosha nafasi kama hizo kwa sasa wanatakiwa kupewa vijana damu changa hatakiwi kumaliza hata wiki pale wizarani
(4) Waziri wa Michezo na burudani paramagamba kabudi hakutakiwa kuwa pale labda kwa sababu wanapeana kama zawadi lakini nafasi kama zile wanatakiwa vijana aondoke vijana waingie wapige kazi
5) Waziri wa Maliasiri na Uvuvi apishe waingie vijana damu Changa labda kwa sababu wanateuana kama zawadi ila hakutakiwa kuwa pale Tena 2025 imetosha.

(6) Waziri wa Rlimu ndugu yule ana sera za kisiasa ambazo haziwasaidii wasomi wa nchi hii ,sekta ya elimu inazalisha walimu ambao Haina pa kuwapeleka.

(7)Waziri wa Katiba na Sheria tumechoka kumsikia apumzike apishe damu changa uongozi hauwezi kuwa unazunguka kwa wale wale tu !

NB: Haya ni maoni yangu binafsi ombwe la viongozi wa zama za mkapa, jakaya na magufuli wanatakiwa kupumzika na uwaziri uwe na kikomo ikiwezekana miaka mitano tu.

Kuna mijitu tangia mwaka 2000 mpaka Leo Bado ni mawaziri ni kama nchi hii Haina kizazi kipya na inaonekana teuzi ni zakupeana kwa kujuana ama na wazazi wako au babu na bibi yako! Kama Hauna ndugu aliyewahi kuwa kiongozi sahau kuhusu teuzi mpya zenye sura mpya.

Kinyume chake utasikia Kila mwaka Nape, Makamba, Nape Makamba nikama tumekuwa na nchi tasa isiyoweza kuzalisha viongozi wapya
Kumbe kuwachoka tu, nilijua wanakosa katika utendaji wao uyathibitishe japo kwa mfano.
 
Hivi nchemba anaweza kweli akasimama akajenga hoja kwenye uchumi au tumepigwa tu na huyu mama abuduli.
 
Gentleman,
wananchi wapiga kura na waTanzania ndio hasa waamuzi wa mwisho wenye fursa na nafasi ya kuamua kidemokrasia na kwa uhuru wao, jua ya nani hasa ndie anafaa awe kiongozi wa eneo lao na Taifa lao, na sio utaratibu mwingine wowote wa kishirikina na chuki binafsi :pulpTRAVOLTA:
Wananchi siku hizi wanapewa
 
( 1) Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba, anaonekana kama Wizara ya Fedha ni mali yake na ni kama aliyemteua kapigwa upofu huyu mtu ni hatari sana katika kusimamia mambo ya fedha za nchi na Kuna viashiria vingi vya ufisadi tunahisi huenda Kuna Siri kubwa kati yake na aliyemteua.
(2)George Simbachawene imetosha apumzike uwaziri hana Tena tija kwa mfumo uliopo sasa Yuko pale kama kutunziana heshima tu) (3) Waziri wa Uchukuzi kutoka Zanzibar ndugu Makame Mbarawa apishe vijana wachukue nafasi muda aliotumika pale wizarani inatosha nafasi kama hizo kwa sasa wanatakiwa kupewa vijana damu changa hatakiwi kumaliza hata wiki pale wizarani
(4) Waziri wa Michezo na burudani paramagamba kabudi hakutakiwa kuwa pale labda kwa sababu wanapeana kama zawadi lakini nafasi kama zile wanatakiwa vijana aondoke vijana waingie wapige kazi
5) Waziri wa Maliasiri na Uvuvi apishe waingie vijana damu Changa labda kwa sababu wanateuana kama zawadi ila hakutakiwa kuwa pale Tena 2025 imetosha.

(6) Waziri wa Rlimu ndugu yule ana sera za kisiasa ambazo haziwasaidii wasomi wa nchi hii ,sekta ya elimu inazalisha walimu ambao Haina pa kuwapeleka.

(7)Waziri wa Katiba na Sheria tumechoka kumsikia apumzike apishe damu changa uongozi hauwezi kuwa unazunguka kwa wale wale tu !

NB: Haya ni maoni yangu binafsi ombwe la viongozi wa zama za mkapa, jakaya na magufuli wanatakiwa kupumzika na uwaziri uwe na kikomo ikiwezekana miaka mitano tu.

Kuna mijitu tangia mwaka 2000 mpaka Leo Bado ni mawaziri ni kama nchi hii Haina kizazi kipya na inaonekana teuzi ni zakupeana kwa kujuana ama na wazazi wako au babu na bibi yako! Kama Hauna ndugu aliyewahi kuwa kiongozi sahau kuhusu teuzi mpya zenye sura mpya.

Kinyume chake utasikia Kila mwaka Nape, Makamba, Nape Makamba nikama tumekuwa na nchi tasa isiyoweza kuzalisha viongozi wapya
Jenistar Muhagama unamuogopa kwakuwa anawategemea sangoma nini?
 
Akili kubwa haideal na watu inadeal na issues

Tupambanie katiba mpya
 
Back
Top Bottom