Dogoli kinyamkela JF-Expert Member Joined Nov 21, 2024 Posts 618 Reaction score 1,440 Dec 7, 2024 #1 Kabla ya Wazungu kuleta mahindi ambayo si ya asili barani Afrika, ugali wetu ulitengenezwa kwa mtama, zao ambalo ni asilia kwa hali ya joto ya Afrika. Tuliiacha kwa ajili ya ugali wa mahindi ambao wakoloni waliitumia kulisha mifugo. π©π©π©
Kabla ya Wazungu kuleta mahindi ambayo si ya asili barani Afrika, ugali wetu ulitengenezwa kwa mtama, zao ambalo ni asilia kwa hali ya joto ya Afrika. Tuliiacha kwa ajili ya ugali wa mahindi ambao wakoloni waliitumia kulisha mifugo. π©π©π©
Cytochrome p450 JF-Expert Member Joined Mar 19, 2019 Posts 5,638 Reaction score 15,044 Dec 7, 2024 #2 Kumbe wazungu ndio walotuletea kisukari
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Dec 7, 2024 #3 Ugali chakula cha kitumwa
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 12,679 Reaction score 25,646 Dec 7, 2024 #4 Mad Max said: Ugali chakula cha kitumwa Click to expand... sio mbaya lakini
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 20,704 Reaction score 66,337 Dec 7, 2024 #5 Ugali ni mzuri kiafya, shida ni kuzidisha, tena ule wa unga wa sembe Hata wazungu wa north america wanakula sana mahindi kwenye vyakula kama tacos, nachos na quesadillas
Ugali ni mzuri kiafya, shida ni kuzidisha, tena ule wa unga wa sembe Hata wazungu wa north america wanakula sana mahindi kwenye vyakula kama tacos, nachos na quesadillas
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Dec 7, 2024 #6 Dr hyperkid said: sio mbaya lakini Click to expand... Unapunguza akili
Dogoli kinyamkela JF-Expert Member Joined Nov 21, 2024 Posts 618 Reaction score 1,440 Dec 7, 2024 Thread starter #7 Mad Max said: Unapunguza akili Click to expand... Mawazo ya kijinga sana aya
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Dec 7, 2024 #8 Dogoli kinyamkela said: Mawazo ya kijinga sana sya Click to expand... Au sio?
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 12,679 Reaction score 25,646 Dec 7, 2024 #9 Mad Max said: Unapunguza akili Click to expand... kama ufikirishi ubongo utabaki kua kiazi tuh wala usiusingizie ugali kuna kitu kinaitwa "use and disuse"
Mad Max said: Unapunguza akili Click to expand... kama ufikirishi ubongo utabaki kua kiazi tuh wala usiusingizie ugali kuna kitu kinaitwa "use and disuse"
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Dec 7, 2024 #10 Hebu fikiria wao hawali ila wametuletea kudumaza akili za mwafrika Huoni hata professor wetu hawajielewi
Hebu fikiria wao hawali ila wametuletea kudumaza akili za mwafrika Huoni hata professor wetu hawajielewi