Kabudi, Bashiru, Polepole, Majaliwa mpo wapi kwenye jambo la Bandari?

CONSISTENCY

Senior Member
Joined
Feb 16, 2023
Posts
135
Reaction score
309
Hivi kweli ninyi wote mmekubaliana na huo mkataba wa kuuza bandari?

Bandari ndio mali kubwa tuliyobakiwa nayo sasa, nchi zote zilizotuzunguka zinatupa heshima sababu zinategemea bandari zetu kupitisha mali na mizigo yao. Ikumbukwe kwamba serikali imekua inatumia pesa nyingi kuirekebisha bandari kila wakati.

Hivi ninyi wanasiasa mnashindwa kutetea mustakabali wa Taifa letu na vizazi vijavyo sababu ya kulinda vyeo na nafasi zenu za kisiasa?

Huo mkataba wa bandari hauhusiani na siasa na kuna raia wengi sana, raia wengine ni wanasheria wazoefu wamekosoa mkataba wa bandari kwa uwazi kabisa kwamba huo mkataba una mapungufu makubwa yenye lengo la kuuza sehem muhim katika nchi yetu.

Kwanini mkataba unakua mzuri kwa watu wachache waliopo CCM tu ila unapingwa na asilimia kubwa ya wananchi na wakati wote tupo katika nchi moja?

CCM mnafaidika nini na huo mkataba hadi mmeamua kuwalinda hao waarabu kwa jambo hatari kwa nchi kama hilo?

Dkt. Bashiru Ally, Humphrey Polepole, Profesa Kabudi, Waziri mkuu Kasim Majaliwa na wazalendo wengineo, ninyi pia mmekubali huyo bibi awazidi akili hadi kufanya jambo la kuhatarisha nchi kama hilo na mpo kimya, ili kulinda nafasi zenu za kisiasa?

Wito wangu kwa watanzania, tujifunze kulinda mali zetu kwa vizazi kwa namna nyinginezo ikiwemo maandamano na migomo kuliko kutegemea wanasiasa washenzi wanaojali matumbo yao ya kifisadi na kusahau hatma kubwa ya nchi na urithi wake.

Hili jambo la bandari haliwezi kupita hivi hivi, lazima tufute huo mkataba kwa heri au kwa shari
 
Wamekaa kimya,maana wanajua hili ni bomu .Ipo siku litalipuka.Siku wafanyakazi wa Bandari wakianza kuandamana kisa kupungunzwa ,siku matokeo yakiwa hasi.

Ndiyo utajua kwa nini waliamua kukaa kimya.Kabudi na kiherehere chake lakini hakuchangia kabisa kwenye azimio hilo.Jua hilo ni bomu,na muda utaamua lini linalipuka.
 
Hao uliowataja ndiyo wanaoeneza chuki. Sababu zipo wazi.

Hii bandari hakuna siasa, hakuna raia, ni chuki na ubaguzi wa kijinga.

Ingekuwa nchi ya wazungu ndiyo inapewa mkataba yasingekuwepo yote haya.

Wenye akili washaelewa hilo.
 
Ulega juzi alisema vyema sana, kama angempinga boss wake Mpina kwenye kupima samaki aliyepikwa kwa rula leo hii labda asingekuwa hata mbunge.

Viongozi hawa uliowataja hapo wanajua vyema wakimpinga raisi hadharani hawatatoboa popote.
 
Wamekaa kimya,maana wanajua hili ni bomu .Ipo siku litalipuka.Siku wafanyakazi wa Bandari wakianza kuandamana kisa kupungunzwa ,siku matokeo yakiwa hasi.

Ndiyo utajua kwa nini waliamua kukaa kimya.Kabudi na kiherehere chake lakini hakuchangia kabisa kwenye azimio hilo.Jua hilo ni bomu,na muda utaamua lini linalipuka.
For sure lazima libume muda utaamua
 
Wamekaa kimya,maana wanajua hili ni bomu .Ipo siku litalipuka.Siku wafanyakazi wa Bandari wakianza kuandamana kisa kupungunzwa ,siku matokeo yakiwa hasi.

Ndiyo utajua kwa nini waliamua kukaa kimya.Kabudi na kiherehere chake lakini hakuchangia kabisa kwenye azimio hilo.Jua hilo ni bomu,na muda utaamua lini linalipuka.
Ukimya wao ni sehemu ya stamp ya huo mkataba.
 
Hao uliowataja ndiyo wanaoeneza chuki. Sababu zipo wazi.

Hii bandari jakuna siasa, hakuna raia, ni chuki na ubaguzi wa kijinga.

Ingekuwa nchi ya wazungu ndiyo inapewa mkataba yasingekuwepo yote haya.

Wenye akili washaelewa hilo.
Wewe bibi unahangaika na udini tu, watanzania wooooote wanaolalakia mapungufu ya mkataba wewe umewazidi akili, hauoni mapungufu kisa dini, akili yako haina akili!
 
Wamekaa kimya,maana wanajua hili ni bomu .Ipo siku litalipuka.Siku wafanyakazi wa Bandari wakianza kuandamana kisa kupungunzwa ,siku matokeo yakiwa hasi.

Ndiyo utajua kwa nini waliamua kukaa kimya.Kabudi na kiherehere chake lakini hakuchangia kabisa kwenye azimio hilo.Jua hilo ni bomu,na muda utaamua lini linalipuka.
Nilishasema na nitaendelea kusema wasomi ndio wanatuangusha kwenye hii nchi
 
Hao uliowataja ndiyo wanaoeneza chuki. Sababu zipo wazi.

Hii bandari jakuna siasa, hakuna raia, ni chuki na ubaguzi wa kijinga.

Ingekuwa nchi ya wazungu ndiyo inapewa mkataba yasingekuwepo yote haya.

Wenye akili washaelewa hilo.
Wewe tunajua unasimama upande gani,waarabu ni ndugu zako katika imani lazima uwatetee
 
Hivi kweli ninyi wote mmekubaliana na huo mkataba wa kuuza bandari?

Bandari ndio mali kubwa tuliyobakiwa nayo sasa, nchi zote zilizotuzunguka zinatupa heshima sababu zinategemea bandari zetu kupitisha mali na mizigo yao. Ikumbukwe kwamba serikali imekua inatumia pesa nyingi kuirekebisha bandari kila wakati.

Hivi ninyi wanasiasa mnashindwa kutetea mustakabali wa Taifa letu na vizazi vijavyo sababu ya kulinda vyeo na nafasi zenu za kisiasa?

Huo mkataba wa bandari hauhusiani na siasa na kuna raia wengi sana, raia wengine ni wanasheria wazoefu wamekosoa mkataba wa bandari kwa uwazi kabisa kwamba huo mkataba una mapungufu makubwa yenye lengo la kuuza sehem muhim katika nchi yetu.

Kwanini mkataba unakua mzuri kwa watu wachache waliopo CCM tu ila unapingwa na asilimia kubwa ya wananchi na wakati wote tupo katika nchi moja?

CCM mnafaidika nini na huo mkataba hadi mmeamua kuwalinda hao waarabu kwa jambo hatari kwa nchi kama hilo?

Dkt. Bashiru Ally, Humphrey Polepole, Profesa Kabudi, Waziri mkuu Kasim Majaliwa na wazalendo wengineo, ninyi pia mmekubali huyo bibi awazidi akili hadi kufanya jambo la kuhatarisha nchi kama hilo na mpo kimya, ili kulinda nafasi zenu za kisiasa?

Wito wangu kwa watanzania, tujifunze kulinda mali zetu kwa vizazi kwa namna nyinginezo ikiwemo maandamano na migomo kuliko kutegemea wanasiasa washenzi wanaojali matumbo yao ya kifisadi na kusahau hatma kubwa ya nchi na urithi wake.

Hili jambo la bandari haliwezi kupita hivi hivi, lazima tufute huo mkataba kwa heri au kwa shari
Thubutuu!!
Hao ndo mashetani hatari sana ktk nchi hii.
Wanajua sana ht jinsi walivyoshirikiana na Kuhani wao Mkuu kuunda genge lao pale mjengoni.
Wanaanzaje kutia neno!?
Bora wafunge tu mabakuli yao wasije wakaamsha vilivyolala.
 
Kwa wastaarabu jambo zito kwa jamii kama hili halipigiwi kura ya ndio au hapana. Wabunge huitwa moja moja kwa jina lake na kutamka kwa mdomo wake kama anaunga au haungi mkono. Bunge linkauwa na rekodi ya jumla ya kura zilizopigwa, zilizokubali, zilizokataa na ambazo hazikuwa na msimamo

Wananchi tunayo haki ya kudai majina ya walioafiki, ambao hawakuafiki na popo wasio na upande. Kwa mara ya kwanza kabisa Spika wa Bunge ameonekana kukerwa na hoja za upinzani na kugeuka judge, jury...all in one! Amechukua nafasi ya Waziri Mkuu kuitetea serikali kulinda maslahi yake.
 
Spika alikuwa anawaweka sawa, sijamuona kukasirika.
 
Back
Top Bottom