Kabudi hana budi kutuambia makubaliano walioingia na kampuni ya Barrick kuhusu makinikia

Tunarud misiri mdogo mdogo, baada ya Musa kufariki
Mzee mikataba na sheria mpya za madini serikali yenyewe kipind cha hayati walibadili sheria kwa matakwa ya wawekezaji, makinikia yanaendelea kwenda nje kama kawaida na mamb ya smelter yakaishia pale. Barick wakaambiwa kujenga smelter hapa bongo ni uamuzi wao wajenge au wasijenge, na kuhusu miamala ya kibenk ilikua ufanyike hapa lkn wakabadili sheria ambayo wao serikali waliiweka na baada ya hapo mialama ikawa inafanyika Bank za nje.
 
Watanzania wengi hawasomi na wala wafuatilii vilivyotokea hata miezi sita iliyopita. Makinikia yamesafirishwa tango enzi za Mwandazake watu vipofu wanahuji leo. Masikini Nchi yangu.
 
Mwendazake alikuwa laghailaghai, anadanganya hata akisima a madhabahuni.
Lilikuwa kosa kubwa sana kumsadiki bwana yule
Mwendazake dishi lilikuwa limeyumba kidogo, sasa kama mtu anasema siku ina masaa 48 na anarudia mara mbilimbili unategemea mzima huyo. Kuna siku akasema kabla hajanunua ndege zake za atcl nauli ya kutoka Dsm to kigoma kwa ndege ilikuwa zaidi ya milioni 8!! Akaja kudanganya kuwa wakati anaingia madarakani wafanyakazi walikuwa wanalipwa mshahara tar. 20 ya mwezi unaofuata, bila aibu siku nyingine akasema alikuta bei ya sukari juu yeye ndiye kaishusha, The guy was a psycho case
 
Magufuli alikuwa ujinga wa Watanzania walio wengi na ndiyo ukawa mtaji wake kwa propaganda za UWONGO. Wasomi na wajuzi wa mambo akawanyamazisha kwa sheria mbaya za mtandao, takwimu na sheria ya habari. Amedanganya na ikawa ndiyo hulka yetu na mpaka alipokufa tukadanganywa kwa siku 7 kuwa yupo anachapa kazi.

Barrick amerudi kama Twiga Corporation na tukapewa 16 ya second class shares (No voting ppwers), tukaahidiwa 50/50 ya economic benefits (wajinga wanadhani economic benefits =Commercial profits).

Bado Mahakama zetu hazitakuwa na jurisdiction kwenye business dispute (lazima twende London), smelter ya makinikia hakuna. Na kimkataba wa 1998 makinikia yanayokadiriwa kuwa na 0.7 Kg kwa 20ft container ni mali yao, ya kwetu ni Gold na Silver tu ambayo wanailipia. Ile USD 190 Bilion aka noah moja kwa Mtanzania imebaki ndoto za mwendawazimu na Goodwill ya USD 300 Million inamezwa ma madai ya kodi ambazo hatukuwafidia.

Hapo ndipo unamkumbuka Tundu Lissu, kuliko kumpiga risasi walipaswa wamuinguze kwenye Negotiation Team ya Prof Kabudi
 
Yalisafirishwa kabla ya 17/03/2021
 
Yalikuwa yanasafirishwa kwenda wapi? Kiwanda cha kuchenjua makinikia kinajengwa Kahama na mkataba wake ulisainiwa January 2021.
 
Fala mkubwa hujui chochote mfuate huyo Lissu wako huko kwa mabeberu huyo Rais Wa Chama Cha Mashoga wa SA.
 
wewe yaonekana hukumufahamu magufuri vizuri, yule alikuwa muongo wa ajabu, na pia alikuwa hakuna chochote alikuwa akiongea cha ukweli, uongo mtupu. yaani kumbe uliamni barrack ingetulipa $190b us dollars? hio kamupuni nyeyewe haijawai kutengeneza revenues ya hio hela(kaa unajua whats known as a companys revenue).pili unauliza bona kesi kaamuliwa nje, sisi wakati ule tulikuwa wanachama wa vitu kaa MIGA na CSDS, kaa unaelewa nini hizo.wewe jiulize bona jiwe kakubali a mere $300 us dollars, ila hali alikuwa amesema tulitakiwa tulipwe $190b us dollars?hii nchi wakati wa jiwe ilikuwa inaendeswa kaa kijiji au kata.tz has a long way to go sir
 
Fala mkubwa hujui chochote mfuate huyo Lissu wako huko kwa mabeberu huyo Rais Wa Chama Cha Mashoga wa SA.
Lisu katoka wapi hapa acha siasa kwenye mambo ya msingi. Kamwaga data hapa challenge facts zake sio Lisu Lisu huku ni kuingia chaka.
 
Sinema la kihindi magu katupiga sana
 
Yalikuwa yanasafirishwa kwenda wapi? Kiwanda cha kuchenjua makinikia kinajengwa Kahama na mkataba wake ulisainiwa January 2021.
Mwendazake na baraza lake la mawaziri walijua yanakokwenda, Kakonko anazo Bill of Lading,
Wanyonge tuendelee kuamini hayasafiri.

Everyday is Saturday.......................😎
 
Waziri Mkuu katoa jibu jepesi sana bungeni. Yaani kwa kifupi tumerudi kulekule kwenye kulipwa peanuts na majangiri haya harafu yanabeba madini yetu mchana kweupe.
 
Haya makinikia yalianza kusafirishwa toka kipindi cha mwendazake tena pale ubungo walikuwa wanaiba ndio walipofikia makubaliano na barrick wakaruhusiwa kuyapeleka nje kwa terms maalum ambazo hazikuwekwa wazi.

Kumbukeni hata hayo makubaliano mwendazake alikuja kutupigia soga zake tu za kujisifia hakuna anayeweza kujua nini haswa walikubaliana na ukihoji wanasema mkataba ni Siri kati ya pande mbili, wanasahau upande wa watanzania unahusisha watanzania wote.

Kiukweli mwendazake ndiye aliyeruhusu baada ya kabudi kunegotiate na mwekezaji. Kabudi ni mshenzi sana alikuwa anamuingiza chaka mwendazake halafu anaongea anatoa macho makavu ilimradi aonekane wa maana hakuna kitu ni mchumia tumbo mkubwa.
 
Nyie ni wasahaulifu tu, mmesahau kuwa kwenye mkataba mpya wa makubaliano na Barick tuliridhia makinikia yaanze kusafirishwa kwenda nje?, hii ni contrary na sheria aliyoitunga Magufuli mwenyewe ya smelter ijengwe nchini
 
JE RAIS SAMIA JUZI KARIAKOO ALIKUWA ANAZURURA?

Akiba ya maneno kwa viongozi INA heshima kubwa sana
 
Fala mkubwa hujui chochote mfuate huyo Lissu wako huko kwa mabeberu huyo Rais Wa Chama Cha Mashoga wa SA.
Tukishakubaliana huwezi kumjua shoga kama wewe siyo shoga. Hivyo basi hata wewe magu2016 unapumuliwa.

The best way ni kuja na hoja na siyo matusi kwa kuwa hakuna tusi jipya duniani. Ukitukana maana yake huna hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…