Kabudi hana budi kutuambia makubaliano walioingia na kampuni ya Barrick kuhusu makinikia

Na atuambie zile mauchafu alizobeba kutoka Madagascar zipo wapi na alitumia shilingi ngapi kuzileta maana walitupiga sana.
 
Mzee baba(JPM) alisema ndani ya mchanga huo kuna madini ya aina nyingi tu.
 
Na atuambie zile mauchafu alizobeba kutoka Madagascar zipo wapi na alitumia shilingi ngapi kuzileta maana walitupiga sana.

Hata kwenye mkataba na Barrick, wamepiga sana Kabudi na Mwendazake kutoka madai ya us$ 191 billion ambazo mchumi Osorro aliwapigia hesabu mpaka kukubali Barrick walipe us$300 million tena kwa malipo ya installment!!! Kishawishi gani kiliwafanya wakubali ufisadi huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…