Kabudi, Lukuvi, Kitila, Waitara na Mwambe ndiyo walikuwa wanamkwamisha Rais Samia?

This is...

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
5,050
Reaction score
5,204
Katika hotuba yake Rais SSH alisema atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kumteuwa na kutengeneza safu ya watu wanaoweza kufanya naye kazi. Kwasababu wengine wanamkwamisha.

Baraza jipya limetangazwa na Mawaziri walioachwa ni wanne. Kwahiyo tafsiri yake ni kwamba hawa wanna ndiyo walikuwa sumu ktk serikali yake, yaani Kabudi, Lukuvi, Kitila na Mwambe.

Na ukiangalia kinachoitwa mabadiliko si mabadiliko bali ni uhamisho wa watu walewale kuzurura kutoka wizara moja kwenda nyingine.

Nimesoma haya kutokana na kauli ya MH. SAMIA kwamba kuna mawaziri hawako naye, pengine wanawaza uchaguzi 2025.

Nini maoni yako!
 
Inashangaza sana, unamtoa LUKUVI? KABUDI? SERIOUSLY? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Its time siasa ya nchi hii has to change, otherwise tunaenda shimoni. Hawa watu wangeunda political block, huku mtaani hamna anaemkubali mama, wakiamua kabisa kupambana 2025 wanabeba.
 
Sonono inaweza toka na mtu,

Kwako baba tunajua wewe ndo mwenye sauti kwa mama ukimwambia aachie kiti ataacha maana dini inakuruhusu na kama yeye mcha mungu lazima akuheshimu

Baba hapa tanzania wewe,kikwete na baba ake mama ndo hamuwezi kutukanwa tunajua hata wewe hupendi ila simama kama Mme maana hata nduguzako wanasemwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inashangaza sana, unamtoa LUKUVI? KABUDI? SERIOUSLY? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Its time siasa ya nchi hii has to change, otherwise tunaenda shimoni. Hawa watu wangeunda political block, huku mtaani hamna anaemkubali mama, wakiamua kabisa kupambana 2025 wanabeba.
Unaijua TISS ? Muwe mnaongea mambo yenye maana sio kujaza pages. Mtu aliyetingisha mfumo ni Lowasa akigombea na Magufuli. Bila kula kuibiwa hali ilikuwa mbaya. Wengine ni vinyamkera tu. Hata Lissu alijaribu japo kwa mbali tu.
 
Katika hotuba yake Rais SSH alisema atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kumteuwa na kutengeneza safu ya watu wanaoweza kufanya naye kazi. Kwasababu wengine wanamkwamisha.

Baraza jipya limetangazwa na Mawaziri walioachwa ni wanne. Kwahiyo tafsiri yake ni kwamba hawa wanna ndiyo walikuwa sumu ktk serikali yake, yaani Kabudi, Lukuvi, Kitila na Mwambe.

Na ukiangalia kinachoitwa mabadiliko si mabadiliko bali ni uhamisho wa watu walewale kuzurura kutoka wizara moja kwenda nyingine.

Nimesoma haya kutokana na kauli ya MH. SAMIA kwamba kuna mawaziri hawako naye, pengine wanawaza uchaguzi 2025.

Nini maoni yako!
Waitara atalia sana na ukevi wake maana ndiyo ulio mponza.

Kuna siku aliupiga akaingia bungeni na kushindwa kulitamka jina la mwenyekiti wake wa chama.
 
Wasiomkubali Mama huwa hawapigi kura wanaishia tu hashtag z tweeter
Inashangaza sana, unamtoa LUKUVI? KABUDI? SERIOUSLY? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom