Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Sipati picha wale wadai wake wa kwenye ma baa watakavyo sikia hana kazi watakavyo kimbizana kumdaiWaitara je?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipati picha wale wadai wake wa kwenye ma baa watakavyo sikia hana kazi watakavyo kimbizana kumdaiWaitara je?
Kabudi1. Lukuvi
2. Kitila
3. Waitara
4. ...
Ongezea
Mkumbo sasa amrudie Zitto aombe kanafasi angalau aendelee kuuza suraLukuvi, Kabudi na Bashiru ndo walikua viongozi vipenzi wa moyoni wa Jiwe aliowaandaa kuchukua nchi 2025 Mkumbo alikua shabiki tu.
Duuu Mwambe kaonja tu nakupigwa4. Godfrey Mwambe
5. Prof. Kabudi
Wapambane kujenga uchumi, ndio intelligence agency za kisasa zinachofanya, na kusaidia Taifa kuwa na wanasiasa wenye uwezo mkubwa kiakili kuongoza taifa, otherwise hamna maajabu, niulize naijua CIA au Mossad na jinsi wanavyojenga uchumi wa mataifa yao..kwa mfano taarifa feki za CIA zilivyosaidia marekani kumiliki mafuta ya Iraq, hayo ndio mambo ya maana sio kuzuia watu wenye uwezo kuwa viongozi, hilo hata wewe unaweza, utahitaji silaha na kitambulisho na li V8 likubwa kutishia watu ila sio matumizi ya AKILI. Mamillion ya vijana hawana kazi wapo very hopeless mtaani, na hiyo ni very real threat kwa taifa lolote, wafikishie hiyo assignment wasaidie kutoa taifa kwenye joblessness.Unaijua TISS ? Muwe mnaongea mambo yenye maana sio kujaza pages. Mtu aliyetingisha mfumo ni Lowasa akigombea na Magufuli. Bila kula kuibiwa hali ilikuwa mbaya. Wengine ni vinyamkera tu. Hata Lissu alijaribu japo kwa mbali tu.
Wenzako wanawaza kuyajaza matumbo yao tuBaraza la sasa jepesi sana yani biskuti..[emoji23]
Mwenye bahati habahatishi jomba fanya kazi nawe upate vyakoNchi imetekwa na majambazi wa msoga.. Sasa ni full upigaji
Tena asbh saa 3Inashangaza sana, unamtoa LUKUVI? KABUDI? SERIOUSLY? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Its time siasa ya nchi hii has to change, otherwise tunaenda shimoni. Hawa watu wangeunda political block, huku mtaani hamna anaemkubali mama, wakiamua kabisa kupambana 2025 wanabeba.
Viongozi wa Sukuma GangKatika hotuba yake Rais SSH alisema atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kumteuwa na kutengeneza safu ya watu wanaoweza kufanya naye kazi. Kwasababu wengine wanamkwamisha.
Baraza jipya limetangazwa na Mawaziri walioachwa ni wanne. Kwahiyo tafsiri yake ni kwamba hawa wanna ndiyo walikuwa sumu ktk serikali yake, yaani Kabudi, Lukuvi, Kitila na Mwambe.
Na ukiangalia kinachoitwa mabadiliko si mabadiliko bali ni uhamisho wa watu walewale kuzurura kutoka wizara moja kwenda nyingine.
Nimesoma haya kutokana na kauli ya MH. SAMIA kwamba kuna mawaziri hawako naye, pengine wanawaza uchaguzi 2025.
Nini maoni yako!
Nani alikuchagulia kambi?
Wakati wewe unachagua kambi za ajabu ajabu hukuiona ya Msoga?
Hata Ujambazi ni akili huwezi kuwa Jambazi kama ni kilaza
[emoji41]🤏Inashangaza sana, unamtoa LUKUVI? KABUDI? SERIOUSLY? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Its time siasa ya nchi hii has to change, otherwise tunaenda shimoni. Hawa watu wangeunda political block, huku mtaani hamna anaemkubali mama, wakiamua kabisa kupambana 2025 wanabeba.
Aisee!Wenzako wanawaza kuyajaza matumbo yao tu
Mwenye bahati habahatishi jomba fanya kazi nawe upate vyako
Lukuvi na Kabudi alishawaambia wasijisumbue kutaka urais 2025 hawatoupatu katuLukuvi, Kabudi na Bashiru ndo walikua viongozi vipenzi wa moyoni wa Jiwe aliowaandaa kuchukua nchi 2025 Mkumbo alikua shabiki tu.
Umesahau yale aliyoongea Kanisani?Lukuvi labda ni speaker mtarajiwa.
Haitakuongezea kituSawa kaka Nape [emoji1787]
Hakuna mtu alikua mwongo kama Jiwe....hao ndo walikua vipenzi wake.Lukuvi na Kabudi alishawaambia wasijisumbue kutaka urais 2025 hawatoupatu katu
Sent using Jamii Forums mobile app