This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Lukuvi, Kabudi na Bashiru ndo walikua viongozi vipenzi wa moyoni wa Jiwe aliowaandaa kuchukua nchi 2025 Mkumbo alikua shabiki tu.1. Lukuvi
2. Kitila
3. Waitara
4. ...
Ongezea
Huyu alikuwa anautaka Urais.Waitara je?
Lukuvi anausaka sana Urais JPM aliwai kumchana laivu kuwa huwezi kuwa Rais usipoteze bure hela zakoInashangaza sana, unamtoa LUKUVI? KABUDI? SERIOUSLY? ππππππππππ
Unaijua TISS ? Muwe mnaongea mambo yenye maana sio kujaza pages. Mtu aliyetingisha mfumo ni Lowasa akigombea na Magufuli. Bila kula kuibiwa hali ilikuwa mbaya. Wengine ni vinyamkera tu. Hata Lissu alijaribu japo kwa mbali tu.Inashangaza sana, unamtoa LUKUVI? KABUDI? SERIOUSLY? ππππππππππ
Its time siasa ya nchi hii has to change, otherwise tunaenda shimoni. Hawa watu wangeunda political block, huku mtaani hamna anaemkubali mama, wakiamua kabisa kupambana 2025 wanabeba.
Leta clip..Lukuvi anausaka sana Urais JPM aliwai kumchana laivu kuwa huwezi kuwa Rais usipoteze bure hela zako
Nchi imetekwa na majambazi wa msoga.. Sasa ni full upigaji
Waitara atalia sana na ukevi wake maana ndiyo ulio mponza.Katika hotuba yake Rais SSH alisema atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kumteuwa na kutengeneza safu ya watu wanaoweza kufanya naye kazi. Kwasababu wengine wanamkwamisha.
Baraza jipya limetangazwa na Mawaziri walioachwa ni wanne. Kwahiyo tafsiri yake ni kwamba hawa wanna ndiyo walikuwa sumu ktk serikali yake, yaani Kabudi, Lukuvi, Kitila na Mwambe.
Na ukiangalia kinachoitwa mabadiliko si mabadiliko bali ni uhamisho wa watu walewale kuzurura kutoka wizara moja kwenda nyingine.
Nimesoma haya kutokana na kauli ya MH. SAMIA kwamba kuna mawaziri hawako naye, pengine wanawaza uchaguzi 2025.
Nini maoni yako!
Inashangaza sana, unamtoa LUKUVI? KABUDI? SERIOUSLY? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Its time siasa ya nchi hii has to change, otherwise tunaenda shimoni. Hawa watu wangeunda political block, huku mtaani hamna anaemkubali mama, wakiamua kabisa kupambana 2025 wanabeba.