Kabudi, Lukuvi, Kitila, Waitara na Mwambe ndiyo walikuwa wanamkwamisha Rais Samia?

Kabudi, Lukuvi, Kitila, Waitara na Mwambe ndiyo walikuwa wanamkwamisha Rais Samia?

Bila kupepesa macho walioachwa kitafsiri ni kwamba bila kuwadhohofisha mapema 2025 wakitia nia urais huenda SSH kura ndani ya chama zisingetosha.
 
Timu ya
watoto wa mjini: January, Nape & Rizi 1. Vijana wa figisu figisu za uchaguzi!! Mama anaangalia 2025!!! No place for Senior Ministers!! Utaanzaje kuongea figisu figisu za uchaguzi na mtu kama Lukuvi au kabudi kwa mfano!! Lakini Riz 1, hata kumtuma makaburini kwake sawz tu!!
Tutarajie kauli za ajabu kama za akina makonda, Happi, Sabaya, yule mkuu wa mkoa wa mwanza aliyetumbuliwa.
 
Mwigulu anapenda uraia but beyond 2030,
Huyu yuko group moja na kina january, nape,, etc, hawana pupa umri unawaruhusu kusubiri hata miaka 20 mbele..
Kina ndugai hawawezi subiri miaka hiyo wanataka kugombea now now

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Kwann 2015 walijitokeza??? hawakusubir 2025???
 
Nephew wa JPM , DOTTO JAMES amepewa post gani? Wizara yake imeunganishwa na Uwekezaji na katibu mkuu mpya
 
Inashangaza sana, unamtoa LUKUVI? KABUDI? SERIOUSLY? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Its time siasa ya nchi hii has to change, otherwise tunaenda shimoni. Hawa watu wangeunda political block, huku mtaani hamna anaemkubali mama, wakiamua kabisa kupambana 2025 wanabeba.
Nchi ni kubwa kuliko huyo lukuvi wako na Kabudi. Wacha kudanganyika.
 
Nadhani Hawa Rais alikuwa na ugomvi nao mwingine ama ni bangusilo.Kama Kuna homa ya 2025 au kumkwamisha rais basi kawatoa ili kutoa ujumbe kwa big fish wengine waogope.Kuniambia Waitara,Mkumbo,Kabudi na Mwambe eti ni tishio kwa rais 2025 nakataa.Hao ni watu wepesi kabisa kama Alberto Msando na Lijualikali.
Hao wana magenge ya kumsema mama halafu utendaji wao haulizishi
 
Alitaka kuwaingiza kwenye baraza nappe, ridhwani na pindi chana. Naona ameanza unda pwanigang. Eti 'exit sukumangang enter pwanigang' 😂😂🤸🤸‍♂️💃💃🚶🤔🤔🙄
Tangu lini ukaiona rais wa JMT kutoka pwani akawa serious na kuleta maendeleo ya nchi hii? Wao wanachuajua ni starehe, kuzurura na kutumbua kodi za watanganyika tu. Kamwe jasiri haiachi asili yake.
 
Hapana, wana ajenda yao fulani ila maneno ya kumwambia mwananchi wa kawaida,
Urais wenyewe kaupata kirahisi hivyo kwa mbeleko ndio maana anaogopa 2025 maana anaujua mziki wa kampeni ulivyo.Na hapo bado wapinzani wanausoma mchezo ili waje kumtoa kwenye reli kirahisi zaidi.
 
Back
Top Bottom