Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kwahiyo mama Samia hataki kuijenga bandari ya bagamoyo?
Mbona umejikoroga mzee mwenzangu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mama Samia hataki kuijenga bandari ya bagamoyo?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mzimu wa magu unamtesa mama.
Huyu in kwa sababu ya ULEVI wake na yuko arrogant kupita kiasi. The guy doesn't behave/look as a minister. Yaani MTU unajiuliza huyu naye aliupataje hata huo uNaibu!! Very useless guy ever seen on earth.Huyu alikuwa anautaka Urais.
Mbaya zaidi alijinasibu kununuliwa na akina Polepole. Atatelekeza jimbo lake halali la Ukonga, akahujumu miradi ya ujenzi wa barabara kwa wakurya wenzake, kule kumebakia mashimo barabarani. Sasa anarudi kule kule alikokuhujumu akayaishi matunda ya chuki zake.Huyu in kwa sababu ya ULEVI wake na yuko arrogant kupita kiasi. The guy doesn't behave/look as a minister. Yaani MTU unajiuliza huyu naye aliupataje hata huo uNaibu!! Very useless guy ever seen on earth.
Nadhani atarudi Ukawa sasa. Anyway, who cares he can go even to hell!
Atapataje Experience uyo ridhiwan kama kila siku nafasi wanazo kinaLukuviDuh, Lukuvi jamani, au labda atakuwa speaker, kiukweli Mh. Lukuvi anapiga kazi sana, huwezi niambia unamweka Ridhiwani, umwache Lukuvi.. Au Lukuvi atakuwa PM au Speaker, ngoja tuone
Kumbuka amekuwa rais UDSM pia na aliweza kukitoa kinyago Heche alichokichonga mwenyewe.Huyu in kwa sababu ya ULEVI wake na yuko arrogant kupita kiasi. The guy doesn't behave/look as a minister. Yaani MTU unajiuliza huyu naye aliupataje hata huo uNaibu!! Very useless guy ever seen on earth.
Nadhani atarudi Ukawa sasa. Anyway, who cares he can go even to hell!
Dhambi ya usaliti haijawahi kumuacha MTU salama. Waitara ameanza kulipa hiyo dhambi. Sidhani kama ukitoa familia yake, kuna yeyote anayeumizwa na kutumbuliwa kwake! Let him go!Mbaya zaidi alijinasibu kununuliwa na akina Polepole. Atatelekeza jimbo lake halali la Ukonga, akahujumu miradi ya ujenzi wa barabara kwa wakurya wenzake, kule kumebakia mashimo barabarani. Sasa anarudi kule kule alikokuhujumu akayaishi matunda ya chuki zake.
Urais wa DARUSO ulimshinda, auweze huu wa kikwelikweli? No way.....Huyu alikuwa anautaka Urais.
Na Mimi nakumbuka hivyo Kuna watu muda mwingine masikio wanayaazimisha, ndo shida utokea hapoLeta clip..
Nakumbuka alisema umri umeenda pamoja na kabudi hayo ya hela umetoa wap?
Hawa akina Lukuvi, Waitara, mwambe, kitila na prof kabudi wametolewa wakajiandae na 2025 inaonekana hawa ndio walihitaji hiyo nafasi nyeti serikaliniKatika hotuba yake Rais SSH alisema atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kumteuwa na kutengeneza safu ya watu wanaoweza kufanya naye kazi. Kwasababu wengine wanamkwamisha.
Baraza jipya limetangazwa na Mawaziri walioachwa ni wanne. Kwahiyo tafsiri yake ni kwamba hawa wanna ndiyo walikuwa sumu ktk serikali yake, yaani Kabudi, Lukuvi, Kitila na Mwambe.
Na ukiangalia kinachoitwa mabadiliko si mabadiliko bali ni uhamisho wa watu walewale kuzurura kutoka wizara moja kwenda nyingine.
Nimesoma haya kutokana na kauli ya MH. SAMIA kwamba kuna mawaziri hawako naye, pengine wanawaza uchaguzi 2025.
Nini maoni yako!
Ni kwamba; wenye CCM yao walikua wanaitaka na mama hakua na ujanja zaidi ya kutafuta mpenyo wa kuirudisha kwa wenyewe. Yule mgogo alipojichanganya tu mama katelezea mulemule. Hakuna kitu ilikua inauma wana CCM kuachwa na magu kuwanunua upinzani na kuwazawadia vyeo.Katika hotuba yake Rais SSH alisema atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kumteuwa na kutengeneza safu ya watu wanaoweza kufanya naye kazi. Kwasababu wengine wanamkwamisha.
Baraza jipya limetangazwa na Mawaziri walioachwa ni wanne. Kwahiyo tafsiri yake ni kwamba hawa wanna ndiyo walikuwa sumu ktk serikali yake, yaani Kabudi, Lukuvi, Kitila na Mwambe.
Na ukiangalia kinachoitwa mabadiliko si mabadiliko bali ni uhamisho wa watu walewale kuzurura kutoka wizara moja kwenda nyingine.
Nimesoma haya kutokana na kauli ya MH. SAMIA kwamba kuna mawaziri hawako naye, pengine wanawaza uchaguzi 2025.
Nini maoni yako!
Tunaenda shimoni kwa kuwaacha vigeugeu kama kabudi na kitila? Seriously?Inashangaza sana, unamtoa LUKUVI? KABUDI? SERIOUSLY? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Its time siasa ya nchi hii has to change, otherwise tunaenda shimoni. Hawa watu wangeunda political block, huku mtaani hamna anaemkubali mama, wakiamua kabisa kupambana 2025 wanabeba.
Kivipi??,Hebu fafanua.Kama hujui unakokwenda huwezi kupotea.
If you don't know where you are going, any road will get you there.
TISS kitu gani wewe???,As far as ni binadamu sidhani km Wana nguvu kiasi tunachofikiria, Ingekuwa Hivyo Magufuli tusingempoteza maana sidhani km ni Mapenzi ya MUNGU.Unaijua TISS ? Muwe mnaongea mambo yenye maana sio kujaza pages. Mtu aliyetingisha mfumo ni Lowasa akigombea na Magufuli. Bila kula kuibiwa hali ilikuwa mbaya. Wengine ni vinyamkera tu. Hata Lissu alijaribu japo kwa mbali tu.
Jitu la msogaNani alikuchagulia kambi?
Wakati wewe unachagua kambi za ajabu ajabu hukuiona ya Msoga?
Hata Ujambazi ni akili huwezi kuwa Jambazi kama ni kilaza
Nadhani Hawa Rais alikuwa na ugomvi nao mwingine ama ni bangusilo.Kama Kuna homa ya 2025 au kumkwamisha rais basi kawatoa ili kutoa ujumbe kwa big fish wengine waogope.Kuniambia Waitara,Mkumbo,Kabudi na Mwambe eti ni tishio kwa rais 2025 nakataa.Hao ni watu wepesi kabisa kama Alberto Msando na Lijualikali.Katika hotuba yake Rais SSH alisema atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kumteuwa na kutengeneza safu ya watu wanaoweza kufanya naye kazi. Kwasababu wengine wanamkwamisha.