wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Huyu tungi limechangiaWaitara je?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu tungi limechangiaWaitara je?
Waitara na Urais, kweli?Huyu alikuwa anautaka Urais.
Duuu Mwambe kaonja tu nakupiAlidanganya
km huwezi kujiendesha lazima uendeshwe, acha ubwege na ufala.Maoni- juu ya maoni yako- usituendeshe
Sipati picha wale wadai wake wa kwenye ma baa watakavyo sikia hana kazi watakavyo kimbizana kumdai
Sio kosa ndio maana jpm bado alimwachaLukuvi anausaka sana Urais JPM aliwai kumchana laivu kuwa huwezi kuwa Rais usipoteze bure hela zako
Waliotemwa ni wasafya, dio wasukuma,,, ha ha ha,, hiyo sukuma gang sijui haipo, ni myth tu,,, labda kama ndugai ni msukuma[emoji16][emoji16].Samia hajameet bado matarajio ya baadhi ya watu wanaowa-label wenzao sukuma gang
Kuna Watu walisubiri kwa hamu omission ya katambi, biteko, mabula, masanja, au mashimba kwny cabinet.
Cha ajabu waliotemwa ni watu baaki kabisa au mimi ndio sijui maana ya sukuma gang..
Cc: washabiki wa anguko la ndugai.
Lukuvi alipewa ukuu wa mkoa wa dar na JK,, ndiposa akaonekana kwenye ramani ya siasa,,,Unamsemea. Lukuvi alikuwapo toka awamu ya kwanza.
Nape ndo wataalamu wenyewe hao wa siasaNape amerudishwa na baba yake kuwa alikuwa ni kada mtiifu wa chama .
Wazee wa goli la mkono lkn bahati mbaya Bashite akamharibia future yake
Nani anaweza kuwa mtaalamu wa sheria na katiba alietaka serikali iwe ya mpito? Kati ya hao?Kati ya hao ni nani hasa anayewaza uchaguzi 2025?
Mwigulu anapenda uraia but beyond 2030,Huyu mama anagalau angekuwa anaingia humu JF na kuchota busara angeweza kupona lakini sasa Ndio ametangaza vita kamili huko chamani Kwao!! Mama uchumi ndio nguzo ya siasa inakoelemea, huwezi kumuacha adui yako akakaa na funguo za SAFE yako!!! Mwigulu hata kipofu anajua kuwa ana aspirations za URAIS na wewe mwenyewe umesema utawapa nafasi wanaotaka kuwania 2025 waende kufanya hivyo nje ya baraza; na wewe unaamini hao uliowaacha humo watakuvusha 2025? Hizo ni ndoto za alinacha , jitayarishe kurudi makunduchi!!
Huyu yuko group moja na kina january, nape,, etc, hawana pupa umri unawaruhusu kusubiri hata miaka 20 mbele..
Hapana, wana ajenda yao fulani ila maneno ya kumwambia mwananchi wa kawaida,Na mimi nilikuwa nna hamu sana kuwafahamu hao sukuma gang. Kumbe ni kina Kabudi?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inawezekana Mama au wana CCM wanaogopa kitu kisichokuwepo.
Pengine bado wana hofu na mwendazake.