Kabudi, Lukuvi, Kitila, Waitara na Mwambe ndiyo walikuwa wanamkwamisha Rais Samia?

Kabudi, Lukuvi, Kitila, Waitara na Mwambe ndiyo walikuwa wanamkwamisha Rais Samia?

Hivi kweli unamtoa kabudi na Lukuvi? Sijui tunakoenda?
We unaona tunaenda wapi? Tunaenda huku

Screenshot_20220108-201919.png


Screenshot_20220107-173944.png


Screenshot_20220107-064718.png


Screenshot_20220107-064427.png
 
Of all the people!! unatoa Lukuvi, Kabudi unaweka Riz 1. Nape kwenye baraza!! Sisi yetu macho!! Sidhani kama unaweza kumshawishi mtu yeyote kuwa MASLAHI MAPANA YA TAIFA YAMEZINGATIWA!! Nadhani kilichoongoza mabadiliko haya ni hiyo hiyo 2025 fever and not otherwise!!
Wote hao ni takataka kwani Wana jipya gani? Wana hati miliki hapa Tzn? Rubbish post
 
Timu ya
watoto wa mjini: January, Nape & Rizi 1. Vijana wa figisu figisu za uchaguzi!! Mama anaangalia 2025!!! No place for Senior Ministers!! Utaanzaje kuongea figisu figisu za uchaguzi na mtu kama Lukuvi au kabudi kwa mfano!! Lakini Riz 1, hata kumtuma makaburini kwake sawz tu!!
Hata Mwendazake ni figisu za hao zilimuweka
 
Kuna msemo unasema Kunguru hafugiki
Usaliti uko rohoni mwa mtu
Mtu akisaliti chadema usifikiri akija ccm atakuwa Malaika
Ni sawa na kuoa mke wa mtu.
 
Duh, Lukuvi jamani, au labda atakuwa speaker, kiukweli Mh. Lukuvi anapiga kazi sana, huwezi niambia unamweka Ridhiwani, umwache Lukuvi.. Au Lukuvi atakuwa PM au Speaker, ngoja tuone
Lukuvi hana vinasaba
 
Palamagamba [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Sema huyu mzee kipindi Cha magufuli alikuwa mwamba kweli kweli.
 
Pale Riziwani anapokuwa bora kuliko Kabudi au Mkumbo. Tukutane 2025.
 
Nchi imetekwa na majambazi wa msoga.. Sasa ni full upigaji

Huyu mama anagalau angekuwa anaingia humu JF na kuchota busara angeweza kupona lakini sasa Ndio ametangaza vita kamili huko chamani Kwao!! Mama uchumi ndio nguzo ya siasa inakoelemea, huwezi kumuacha adui yako akakaa na funguo za SAFE yako!!! Mwigulu hata kipofu anajua kuwa ana aspirations za URAIS na wewe mwenyewe umesema utawapa nafasi wanaotaka kuwania 2025 waende kufanya hivyo nje ya baraza; na wewe unaamini hao uliowaacha humo watakuvusha 2025? Hizo ni ndoto za alinacha , jitayarishe kurudi makunduchi!!
 
Wagombea wako ni wao pia hadi leo hujajifunza?

Huwa wanasimamisha wagombea wao kwny vyama vyote Vikuu…wanajua ile principal ya Portfolio
Pale Riziwani anapokuwa bora kuliko Kabudi au Mkumbo. Tukutane 2025.
 
Back
Top Bottom