Kabudi, Lukuvi, Kitila, Waitara na Mwambe ndiyo walikuwa wanamkwamisha Rais Samia?

Lukuvi anausaka sana Urais JPM aliwai kumchana laivu kuwa huwezi kuwa Rais usipoteze bure hela zako
Kuutaka urais ni haki ya kikatiba ya kila mtanzania anayedhani kuwa ana sifa za kuwa rais ili mradi afuate utaratibu wa kikatiba!!
 
Katika hotuba yake Rais SSH alisema atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kumteuwa na kutengeneza safu ya watu wanaoweza kufanya naye kazi. Kwasababu wengine wanamkwamisha.

Baraza jipya limetangazwa na Mawaziri walioachwa ni wanne. Kwahiyo tafsiri yake ni kwamba hawa wanna ndiyo walikuwa sumu ktk serikali yake, yaani Kabudi, Lukuvi, Kitila na Mwambe.

Na ukiangalia kinachoitwa mabadiliko si mabadiliko bali ni uhamisho wa watu walewale kuzurura kutoka wizara moja kwenda nyingine.

Nimesoma haya kutokana na kauli ya MH. SAMIA kwamba kuna mawaziri hawako naye, pengine wanawaza uchaguzi 2025.

Nini maoni yako!
Yaani huyu mama sina imani nae tena, kelele zote zile eti kaishia kuwamisha mawizara tu, ila yote haya ccm ndio wanatukosea watanzania
 
Duh, Lukuvi jamani, au labda atakuwa speaker, kiukweli Mh. Lukuvi anapiga kazi sana, huwezi niambia unamweka Ridhiwani, umwache Lukuvi.. Au Lukuvi atakuwa PM au Speaker, ngoja tuone
Of all the people!! unatoa Lukuvi, Kabudi unaweka Riz 1. Nape kwenye baraza!! Sisi yetu macho!! Sidhani kama unaweza kumshawishi mtu yeyote kuwa MASLAHI MAPANA YA TAIFA YAMEZINGATIWA!! Nadhani kilichoongoza mabadiliko haya ni hiyo hiyo 2025 fever and not otherwise!!
 
Timu ya
Kwenye siasa kuna mengi, unapewa tu condition...weka kijana wetu hapo ili 2025 tukufanyie mitikasi ubaki 🤔
watoto wa mjini: January, Nape & Rizi 1. Vijana wa figisu figisu za uchaguzi!! Mama anaangalia 2025!!! No place for Senior Ministers!! Utaanzaje kuongea figisu figisu za uchaguzi na mtu kama Lukuvi au kabudi kwa mfano!! Lakini Riz 1, hata kumtuma makaburini kwake sawz tu!!
 
Unajiongelesha kila post alafu raia wanakupuuza

Wewe siyo Chawa ni Mende
Una chuki na mtu usiyemjua? Utakuwa na sonona wewe,Nani kakwambia anatafuta attention mitandaoni? Au unataka kunifundisha kipi Cha kupost humu,je una ubia na melo? Pambana na Hali yako,na Kama ninakukera konyeza kitufe Cha ignore usiwe unaona post zangu.
Bure kabisa wewe[emoji849]
 
Inashangaza sana, unamtoa LUKUVI? KABUDI? SERIOUSLY? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Its time siasa ya nchi hii has to change, otherwise tunaenda shimoni. Hawa watu wangeunda political block, huku mtaani hamna anaemkubali mama, wakiamua kabisa kupambana 2025 wanabeba.
Lukuvi sawa,ila kwa Kabudi ni sawa kupigwa chini. Labda iundwe wizara ya mapambio na kulamba makalio ndio atafaa
 
Katika hotuba yake Rais SSH alisema atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kumteuwa na kutengeneza safu ya watu wanaoweza kufanya naye kazi. Kwasababu wengine wanamkwamisha.

Baraza jipya limetangazwa na Mawaziri walioachwa ni wanne. Kwahiyo tafsiri yake ni kwamba hawa wanna ndiyo walikuwa sumu ktk serikali yake, yaani Kabudi, Lukuvi, Kitila na Mwambe.

Na ukiangalia kinachoitwa mabadiliko si mabadiliko bali ni uhamisho wa watu walewale kuzurura kutoka wizara moja kwenda nyingine.

Nimesoma haya kutokana na kauli ya MH. SAMIA kwamba kuna mawaziri hawako naye, pengine wanawaza uchaguzi 2025.

Nini maoni yako!

Kabudi na Lukuvi itakuwa umri tu! Mama ana waheshimu sana
 
Inashangaza sana, unamtoa LUKUVI? KABUDI? SERIOUSLY? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Its time siasa ya nchi hii has to change, otherwise tunaenda shimoni. Hawa watu wangeunda political block, huku mtaani hamna anaemkubali mama, wakiamua kabisa kupambana 2025 wanabeba.
Wewe ndie humkubali mama...jisemee mwenyewe
 
Mh. Lukuvi kafanya makubwa Ardhi..
Ngoja tuone hao warithi wake
Tutamkumbuka Lukuvi kwa kuondoa kero za baba/mama mwenye nyumba na za madalali! Madalali walikuwa wanakula kotekote! wanakula kwa mwenye nyumba kodi ya mwezj mmoja na wanakula kwa mpangaji kodi ya mwezi mmoja!! kwa sasa wanakula kwa mwenye nyumba tu kodi ya mwezi mmoja. Pia amepiga mafufuku kudai kodi ya miezi sita au mwaka. Mpangaji atalipa kodi ya mwezi mmoja mmoja tu!! Hakuna mtu aliyewani kuwaza kama kero hizo zinaweza kushughulikiwa!! Pumzika baba Lukuvi kazi yako inaishi !
 
Katika hotuba yake Rais SSH alisema atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kumteuwa na kutengeneza safu ya watu wanaoweza kufanya naye kazi. Kwasababu wengine wanamkwamisha.

Baraza jipya limetangazwa na Mawaziri walioachwa ni wanne. Kwahiyo tafsiri yake ni kwamba hawa wanna ndiyo walikuwa sumu ktk serikali yake, yaani Kabudi, Lukuvi, Kitila na Mwambe.

Na ukiangalia kinachoitwa mabadiliko si mabadiliko bali ni uhamisho wa watu walewale kuzurura kutoka wizara moja kwenda nyingine.

Nimesoma haya kutokana na kauli ya MH. SAMIA kwamba kuna mawaziri hawako naye, pengine wanawaza uchaguzi 2025.

Nini maoni yako!
Hao wengine sisemi sana ila kwa Waitara wacha akanywe zake pombe
 
Inashangaza sana, unamtoa LUKUVI? KABUDI? SERIOUSLY? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Its time siasa ya nchi hii has to change, otherwise tunaenda shimoni. Hawa watu wangeunda political block, huku mtaani hamna anaemkubali mama, wakiamua kabisa kupambana 2025 wanabeba.
Eti unamtoa Lukuvi unaweka Ridhiwani Kikwete! Ni maudhi na dhihaka.
 
Waitara atalia sana na ukevi wake maana ndiyo ulio mponza.

Kuna siku aliupiga akaingia bungeni na kushindwa kulitamka jina la mwenyekiti wake wa chama.
It's either R-OH or Work. It was up to him to change or otherwise. Now it's too late and perhaps there may never ever be another chance.
 
Alishajiandalia mitumbwi pale kwao kyabakari
Screenshot_20220108-202535.jpg
 
Back
Top Bottom