Kabudi, Lukuvi, Kitila, Waitara na Mwambe ndiyo walikuwa wanamkwamisha Rais Samia?

Kabudi, Lukuvi, Kitila, Waitara na Mwambe ndiyo walikuwa wanamkwamisha Rais Samia?

Waambie wapambane basi tuone,mfano lukuvi kwanin asisome alama za nyakati,kila siku ni yeye tuh,huyo wa jalalani arudi akafundishe,hao nape na makamba kwa mfano ndiyo walipambana kumwombea kura mwendazake,kama ni battle Wacha iendelee
Nape amerudishwa na baba yake kuwa alikuwa ni kada mtiifu wa chama .
 
Tuache kulalama, Tanzania Ina raia wengi Sana zaidi ya 50M ,sasa kuondolewa kabudi,sijui lukuvi ndo iwe nongwa,hata Mimi hapa natamani siku moja niwe waziri ,sasa Kama tutataka watu wale wale wabaki wakinufaika na national cake tutafika kweli!!?

Binafsi naona Baraza limetulia,acha watu wachape kazi!!
 
Inashangaza sana, unamtoa LUKUVI? KABUDI? SERIOUSLY? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Its time siasa ya nchi hii has to change, otherwise tunaenda shimoni. Hawa watu wangeunda political block, huku mtaani hamna anaemkubali mama, wakiamua kabisa kupambana 2025 wanabeba.
Pambana jiandae kwa 2025. 😃😃😃.
 
Hawa wapinzani waliohamia CCM Wakati wa jiwe waanze kufanya michongo ya kurudi vyama pinzani 2025 hawawezi kutoboa
Kitila baada ya tangazo la mabadiliko ya baraza ameonekana kijitonyama kwa ofisi ya Zitto
 
Au kosa la madalali ndo limemuondoa.
Hah hah naona madalali kama wanalia vile wanapocheka na kusema kiko wapi mnyalu. Ila mnyalu alikuwa ni senior zaidi kuliko mama na anaijua CCM zaidi ya mama,mnyalu ameanzia umoja wa vijana.
 
Sasa yale malalamiko ya kuhujumiana na stress za 2025 hayatakuwepo tena.

Anakwenda kuwekwa kwenye mzani ni Samia na Team yake.
Mzani upi? Wa upinzani au wale wengine waliopata mshtuko wasioutegemea? Maana kama ni mzani wa wananchi unajua kitakachotokea.
 
Hah hah naona madalali kama wanalia vile wanapocheka na kusema kiko wapi mnyalu. Ila mnyalu alikuwa ni senior zaidi kuliko mama na anaijua CCM zaidi ya mama,mnyalu ameanzia umoja wa vijana.
Basi anakwenda kuwa speaker.
 
Inaonekana ulipokuwa mdogo haukupata DHA ya kutosha, jaribu kufuatilia DHA ni nini and its role in brain development. Processor yako ndogo sana.
Kapambane kuelekea 2025 mengine POROJO DHA yangu haitakusaidia kwenye tumbio twako kuelekea 2025.
 
Inashangaza sana, unamtoa LUKUVI? KABUDI? SERIOUSLY? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Its time siasa ya nchi hii has to change, otherwise tunaenda shimoni. Hawa watu wangeunda political block, huku mtaani hamna anaemkubali mama, wakiamua kabisa kupambana 2025 wanabeba.
Lukuvi tunataka kumpa spika
 
Siku mkuchika atakapokufa ndio utakuwa mwisho wa utawala wa ccm. Huyu mzee nadhani ndiye anashikilia hirizi ya chama, mbona yeye panga pangua yumo tu.
Yumo tokea enzi za mwalimu Nyerere, wenzake wote aliofanya nao kazi ama wamestaafu ama wametangulia mbele za haki
 
Back
Top Bottom