Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaamini siku anaapishwaSidhani
Hakuna mtu alikua mwongo kama Jiwe....hao ndo walikua vipenzi wake.
Nape amerudishwa na baba yake kuwa alikuwa ni kada mtiifu wa chama .Waambie wapambane basi tuone,mfano lukuvi kwanin asisome alama za nyakati,kila siku ni yeye tuh,huyo wa jalalani arudi akafundishe,hao nape na makamba kwa mfano ndiyo walipambana kumwombea kura mwendazake,kama ni battle Wacha iendelee
Utaamini siku ukimuona anakula kiapo cha kuwa NdugayiAu kosa la madalali ndo limemuondoa.
Pambana jiandae kwa 2025. 😃😃😃.Inashangaza sana, unamtoa LUKUVI? KABUDI? SERIOUSLY? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Its time siasa ya nchi hii has to change, otherwise tunaenda shimoni. Hawa watu wangeunda political block, huku mtaani hamna anaemkubali mama, wakiamua kabisa kupambana 2025 wanabeba.
Kitila baada ya tangazo la mabadiliko ya baraza ameonekana kijitonyama kwa ofisi ya ZittoHawa wapinzani waliohamia CCM Wakati wa jiwe waanze kufanya michongo ya kurudi vyama pinzani 2025 hawawezi kutoboa
Hah hah naona madalali kama wanalia vile wanapocheka na kusema kiko wapi mnyalu. Ila mnyalu alikuwa ni senior zaidi kuliko mama na anaijua CCM zaidi ya mama,mnyalu ameanzia umoja wa vijana.Au kosa la madalali ndo limemuondoa.
Inaonekana ulipokuwa mdogo haukupata DHA ya kutosha, jaribu kufuatilia DHA ni nini and its role in brain development. Processor yako ndogo sana.Pambana jiandae kwa 2025. 😃😃😃.
Mzani upi? Wa upinzani au wale wengine waliopata mshtuko wasioutegemea? Maana kama ni mzani wa wananchi unajua kitakachotokea.Sasa yale malalamiko ya kuhujumiana na stress za 2025 hayatakuwepo tena.
Anakwenda kuwekwa kwenye mzani ni Samia na Team yake.
Huyo aliedai kuwa ameokotwa jalalani sasa atarejea jalalani auAlisema wazi kabisa pasipo kumug'unya maneno kuwa atawamwaga anaohisi wataleta kauzibe.
Je ndio hawa?View attachment 2073642View attachment 2073648View attachment 2073650View attachment 2073651
Huyu aende akanywe konyagi mwitu.Waitara je?
Basi anakwenda kuwa speaker.Hah hah naona madalali kama wanalia vile wanapocheka na kusema kiko wapi mnyalu. Ila mnyalu alikuwa ni senior zaidi kuliko mama na anaijua CCM zaidi ya mama,mnyalu ameanzia umoja wa vijana.
Kapambane kuelekea 2025 mengine POROJO DHA yangu haitakusaidia kwenye tumbio twako kuelekea 2025.Inaonekana ulipokuwa mdogo haukupata DHA ya kutosha, jaribu kufuatilia DHA ni nini and its role in brain development. Processor yako ndogo sana.
Lukuvi tunataka kumpa spikaInashangaza sana, unamtoa LUKUVI? KABUDI? SERIOUSLY? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Its time siasa ya nchi hii has to change, otherwise tunaenda shimoni. Hawa watu wangeunda political block, huku mtaani hamna anaemkubali mama, wakiamua kabisa kupambana 2025 wanabeba.
Yumo tokea enzi za mwalimu Nyerere, wenzake wote aliofanya nao kazi ama wamestaafu ama wametangulia mbele za hakiSiku mkuchika atakapokufa ndio utakuwa mwisho wa utawala wa ccm. Huyu mzee nadhani ndiye anashikilia hirizi ya chama, mbona yeye panga pangua yumo tu.
bado naendelea kusema ''sidhani''Basi anakwenda kuwa speaker.