Kabudi, Lukuvi, Kitila, Waitara na Mwambe ndiyo walikuwa wanamkwamisha Rais Samia?

Bila kupepesa macho walioachwa kitafsiri ni kwamba bila kuwadhohofisha mapema 2025 wakitia nia urais huenda SSH kura ndani ya chama zisingetosha.
 
Tutarajie kauli za ajabu kama za akina makonda, Happi, Sabaya, yule mkuu wa mkoa wa mwanza aliyetumbuliwa.
 
Kwann 2015 walijitokeza??? hawakusubir 2025???
 
Nephew wa JPM , DOTTO JAMES amepewa post gani? Wizara yake imeunganishwa na Uwekezaji na katibu mkuu mpya
 
Nchi ni kubwa kuliko huyo lukuvi wako na Kabudi. Wacha kudanganyika.
 
Hao wana magenge ya kumsema mama halafu utendaji wao haulizishi
 
Alitaka kuwaingiza kwenye baraza nappe, ridhwani na pindi chana. Naona ameanza unda pwanigang. Eti 'exit sukumangang enter pwanigang' πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€ΈπŸ€Έβ€β™‚οΈπŸ’ƒπŸ’ƒπŸšΆπŸ€”πŸ€”πŸ™„
Tangu lini ukaiona rais wa JMT kutoka pwani akawa serious na kuleta maendeleo ya nchi hii? Wao wanachuajua ni starehe, kuzurura na kutumbua kodi za watanganyika tu. Kamwe jasiri haiachi asili yake.
 
Hapana, wana ajenda yao fulani ila maneno ya kumwambia mwananchi wa kawaida,
Urais wenyewe kaupata kirahisi hivyo kwa mbeleko ndio maana anaogopa 2025 maana anaujua mziki wa kampeni ulivyo.Na hapo bado wapinzani wanausoma mchezo ili waje kumtoa kwenye reli kirahisi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…