Huyu mama sijui ni usahulifu ama hawez ku handle pressure ya matukio makubwa sielew kabisa, juz tu hapa wakat anamsagia kungun Job alitueleza kwamba kuna mawzir wanafikiria 2025 hivyo anaenda kufanya reshuffle ili wakajipange vizur wakiwa nje leo hao hao aliowatuhumu wanamkwamisha anawapamba...