Tetesi: Kabudi: Sifahamu wao kuhusu mimi nimechagua kuishi

Ulaya usingesikia kiongozi kama Kabudi tena mwenye elimu ya Profesa akakaa kimya bila kutoa maoni yake kuhusiana na suala linalovunja baadhi ya vifungu kwenye sheria mama ya nchi kama Katiba. Mbaya zaidi tena suala lenyewe lipo kwenye eneo lake la kujidai.

Useless kabisa, sasa anao watoto na wajukuu na vitukuu...asipowapigania vyema kuweka mazingira mazuri ya wao kuja kuishi kwenye nchi nzuri faida yake ni nini sasa? Akumbuke kuwa kwa umri wake ata akijaliwa kuja kufa kwa natural death hawezi kuishi zaidi ya miaka 40 kutoka sasa...anachogopa ni nini sasa.

Eti profesa.
 
Useless leaders!
Yaani nakuhakikishia kuna watu wakishakufa, wanasahaulika hata kabla hawajazikwa kutokana na maisha yao kutokuwa na mguso kwa watu waliokuwa wanawaongoza.

Yaani inauma sana pale watu wanaishi kifahari kwa kodi zetu, halafu kututetea tu hata walau kwa maneno, "eti nina watoto na wajukuu", nonsense kabisa!
 
Akigombea watoto watampoteza Nini?
 
Kabudi ni one of the greatest minds nchini. Ni vile tu anaelewa mambo mengi mno kiasi kwamba inakuwa ngumu kueleweka na wengi (ambao ni mbumbumbu).
He is one of the brightest academician

But going to politics exposed him to the world he would never conquer

Kila mtu ana mawanda yake
 
Wote hawatarudi

Mambo yatabadilika sana
Watanzania tutaamua.
Ngoja tuendelee kuwavumilia.
Wengi baada ya kuingia bungeni, basi wanatuona wote ambao tuko nje ya bunge kama kwamba hatuna akili na hakuna chochote tunaweza kusema kuhusu nchi yetu!
Mungu yupo!
 
aka vibaka!
 
Kabudi ni one of the greatest minds nchini. Ni vile tu anaelewa mambo mengi mno kiasi kwamba inakuwa ngumu kueleweka na wengi (ambao ni mbumbumbu).
Mtu anayejua mambo mengi ya maana hawezi kuwa anajipendekeza kama yeye. Huenda kweli anajua mambo mengi, lakini mengi ni yaliyopitwa na wakati au hayana maana kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…