Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Afadhali kwenda na lisu ambaye yuko kwa maslahi ya makampuni ya uchimbaji madini ya nje 😠Huyu mzee ameshapoteza credibility yake. Kitendo cha kulamba viatu tena kwenye unyayo kwa Stone alijidhalilisha Sana.
Na akaharibu zaidi kuja kusema hata Yale maneno ya makinikia ilikuwa bosheni. Waziri mzima unapoingia mikataba kwa kuweka vitu bosheni tena huku unajua kabisa ni kujionesha tu kuwa hauko mkweli regardless.
MtanikumbukaLeo hii Jumatatu April 17 2023 Serikali imesaini mikataba na kampuni tatu za madini za Australi zinazohusisha uendeshaji wa uchimbaji wa Madini ya Kinywe (GRAPHITE) na madini adimu (RARE EARTH ELEMENTS) katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Moja kati ya mengi niliyoyanasa ni hili alilolisema Prof Palamagamna Aidan Mwaluko Kabudi, Mwenyekiti Timu Maalum ya Serikali ya Majadiliano ya Mradi.
Prof Kabudi ameeleza kuwa Katika kampuni zote mbili Serikali ya Tanzania ina hisa ya asilimia 16 ya hisa katika kampuni hizo isiyofifishwa, yaani (Non-Dilutable Free Carried Interest)
Prof Kabudi amesisitiza Tanzania ndio nchi nchi pekee ya Kiafrika kuingiza katika mikataba yake aina hii ya hisa na nchi nyingine zimekuwa zikijaribu kuweka kipengele hicho bila mafanikio
Kiufupi ni kwamba Kazi inaendelea na Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia inaendelea kuweka historia.
Hii ndio Tatizo ya viongozi wa Tanzania wanajua kupopoma wakati kiukweli sivyo.Leo hii Jumatatu April 17 2023 Serikali imesaini mikataba na kampuni tatu za madini za Australi zinazohusisha uendeshaji wa uchimbaji wa Madini ya Kinywe (GRAPHITE) na madini adimu (RARE EARTH ELEMENTS) katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Moja kati ya mengi niliyoyanasa ni hili alilolisema Prof Palamagamna Aidan Mwaluko Kabudi, Mwenyekiti Timu Maalum ya Serikali ya Majadiliano ya Mradi.
Prof Kabudi ameeleza kuwa Katika kampuni zote mbili Serikali ya Tanzania ina hisa ya asilimia 16 ya hisa katika kampuni hizo isiyofifishwa, yaani (Non-Dilutable Free Carried Interest)
Prof Kabudi amesisitiza Tanzania ndio nchi nchi pekee ya Kiafrika kuingiza katika mikataba yake aina hii ya hisa na nchi nyingine zimekuwa zikijaribu kuweka kipengele hicho bila mafanikio
Kiufupi ni kwamba Kazi inaendelea na Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia inaendelea kuweka historia.
Asilimia 16 ndo yaleyale ya zamani yamerudi. Maana wakipata hasara tutapata 16 yetu na wakipata faida tutapata 16 yetu. Mnieleweshe isiyofifishwa maana yake nnLeo hii Jumatatu April 17 2023 Serikali imesaini mikataba na kampuni tatu za madini za Australi zinazohusisha uendeshaji wa uchimbaji wa Madini ya Kinywe (GRAPHITE) na madini adimu (RARE EARTH ELEMENTS) katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Moja kati ya mengi niliyoyanasa ni hili alilolisema Prof Palamagamna Aidan Mwaluko Kabudi, Mwenyekiti Timu Maalum ya Serikali ya Majadiliano ya Mradi.
Prof Kabudi ameeleza kuwa Katika kampuni zote mbili Serikali ya Tanzania ina hisa ya asilimia 16 ya hisa katika kampuni hizo isiyofifishwa, yaani (Non-Dilutable Free Carried Interest)
Prof Kabudi amesisitiza Tanzania ndio nchi nchi pekee ya Kiafrika kuingiza katika mikataba yake aina hii ya hisa na nchi nyingine zimekuwa zikijaribu kuweka kipengele hicho bila mafanikio
Kiufupi ni kwamba Kazi inaendelea na Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia inaendelea kuweka historia.
Badala ya kupigana tulivyo navyo lulu hata tukifikiria kurusha chbe kwenda sayari na kutengeneza Magari wenyewe watu wanapayuka Hovyo na mali zikiondoka! Wamarekani wanakuja kuchukua madini za kutengeneza gari za umeme kwetu badala ya kuwaambia waunde hapa nchi kwetu Kwa kuwa tunazo hiyo madini.Maskini nchi yangu. Madini sio mchicha kwamba yataota mengine. Tunakoelekea fedha itakuwa haina maana tena kwa hiyo wewe uliye na dhahabu nyingi ndo utaonekana tajiri akiba ya dhahabu ndo utajiri kwa sasa
Hakuna kazi yoyote ujinga mtupu alafu raisi anashuhudia mambo ya hovyo eti tz ndio nchi ya kwanza kua wakwanza kusaini sio kupata manufaa Tushapigwa mpka hapo kabudi nae kaalmba asali anatoa macho kama popo wa mafiaLeo hii Jumatatu April 17 2023 Serikali imesaini mikataba na kampuni tatu za madini za Australi zinazohusisha uendeshaji wa uchimbaji wa Madini ya Kinywe (GRAPHITE) na madini adimu (RARE EARTH ELEMENTS) katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Moja kati ya mengi niliyoyanasa ni hili alilolisema Prof Palamagamna Aidan Mwaluko Kabudi, Mwenyekiti Timu Maalum ya Serikali ya Majadiliano ya Mradi.
Prof Kabudi ameeleza kuwa Katika kampuni zote mbili Serikali ya Tanzania ina hisa ya asilimia 16 ya hisa katika kampuni hizo isiyofifishwa, yaani (Non-Dilutable Free Carried Interest)
Prof Kabudi amesisitiza Tanzania ndio nchi nchi pekee ya Kiafrika kuingiza katika mikataba yake aina hii ya hisa na nchi nyingine zimekuwa zikijaribu kuweka kipengele hicho bila mafanikio
Kiufupi ni kwamba Kazi inaendelea na Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia inaendelea kuweka historia.
Labda maviHizo rare earth elements ndio zipi!?
"Kuweka historia" ni kuwaambia waache kusomba na kupeleka huko. Watengeneze bidhaa hapa hapa.Leo hii Jumatatu April 17 2023 Serikali imesaini mikataba na kampuni tatu za madini za Australi zinazohusisha uendeshaji wa uchimbaji wa Madini ya Kinywe (GRAPHITE) na madini adimu (RARE EARTH ELEMENTS) katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Moja kati ya mengi niliyoyanasa ni hili alilolisema Prof Palamagamna Aidan Mwaluko Kabudi, Mwenyekiti Timu Maalum ya Serikali ya Majadiliano ya Mradi.
Prof Kabudi ameeleza kuwa Katika kampuni zote mbili Serikali ya Tanzania ina hisa ya asilimia 16 ya hisa katika kampuni hizo isiyofifishwa, yaani (Non-Dilutable Free Carried Interest)
Prof Kabudi amesisitiza Tanzania ndio nchi nchi pekee ya Kiafrika kuingiza katika mikataba yake aina hii ya hisa na nchi nyingine zimekuwa zikijaribu kuweka kipengele hicho bila mafanikio
Kiufupi ni kwamba Kazi inaendelea na Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia inaendelea kuweka historia.
Hivi kuna mtu anasikiliza hilo zee tapeli?Hao ndio watu sasa alioachiwa na Magu!
Siyo zile taka pale wizara ya vifurushi na pale wizara ya mwanga wa vibatali
Pa kupigiwa.Hizo rare earth elements ndio zipi!?