Kabudi: Tanzania imeweka historia, ndio nchi ya kwanza Afrika kusaini mkataba wa hisa isiyofifishwa

Mpaka ‘Bi Tozo’ mwenyewe imebidi atoe smile chezea Kabudi kwa kupamba.

Kwa jinsi viongozi wetu wanavyopenda wapambe sasa hivi kimzaha anaweza pewa uwaziri na kuwa new favourite wa Bi Tozo kwenye mapambio, Mwigulu siku hizi amfurahishi sana kwenye kupampa.
 
Huyu mzee ameshapoteza credibility yake. Kitendo cha kulamba viatu tena kwenye unyayo kwa Stone alijidhalilisha Sana.

Na akaharibu zaidi kuja kusema hata Yale maneno ya makinikia ilikuwa bosheni. Waziri mzima unapoingia mikataba kwa kuweka vitu bosheni tena huku unajua kabisa ni kujionesha tu kuwa hauko mkweli regardless.
Afadhali kwenda na lisu ambaye yuko kwa maslahi ya makampuni ya uchimbaji madini ya nje 😠
 
Leo hii Jumatatu April 17 2023 Serikali imesaini mikataba na kampuni tatu za madini za Australi zinazohusisha uendeshaji wa uchimbaji wa Madini ya Kinywe (GRAPHITE) na madini adimu (RARE EARTH ELEMENTS) katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan.

Moja kati ya mengi niliyoyanasa ni hili alilolisema Prof Palamagamna Aidan Mwaluko Kabudi, Mwenyekiti Timu Maalum ya Serikali ya Majadiliano ya Mradi.

Prof Kabudi ameeleza kuwa Katika kampuni zote mbili Serikali ya Tanzania ina hisa ya asilimia 16 ya hisa katika kampuni hizo isiyofifishwa, yaani (Non-Dilutable Free Carried Interest)

Prof Kabudi amesisitiza Tanzania ndio nchi nchi pekee ya Kiafrika kuingiza katika mikataba yake aina hii ya hisa na nchi nyingine zimekuwa zikijaribu kuweka kipengele hicho bila mafanikio

Kiufupi ni kwamba Kazi inaendelea na Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia inaendelea kuweka historia.
Mtanikumbuka
 
Mikataba ya Tanzania siiamini hata kidogo mwaka kesho utasikia wale wawekezaji wa Australia waliosaini Jumatatu April 17 2023 na Serikali mikataba na kampuni tatu za madini zinazohusisha uendeshaji wa uchimbaji wa Madini ya Kinywe (GRAPHITE) na madini adimu (RARE EARTH ELEMENTS) wamekamata ndege ya Tanzania huko Canada yenye nembo ya Twiga wanadai kudhulumiwa
 
Leo hii Jumatatu April 17 2023 Serikali imesaini mikataba na kampuni tatu za madini za Australi zinazohusisha uendeshaji wa uchimbaji wa Madini ya Kinywe (GRAPHITE) na madini adimu (RARE EARTH ELEMENTS) katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan.

Moja kati ya mengi niliyoyanasa ni hili alilolisema Prof Palamagamna Aidan Mwaluko Kabudi, Mwenyekiti Timu Maalum ya Serikali ya Majadiliano ya Mradi.

Prof Kabudi ameeleza kuwa Katika kampuni zote mbili Serikali ya Tanzania ina hisa ya asilimia 16 ya hisa katika kampuni hizo isiyofifishwa, yaani (Non-Dilutable Free Carried Interest)

Prof Kabudi amesisitiza Tanzania ndio nchi nchi pekee ya Kiafrika kuingiza katika mikataba yake aina hii ya hisa na nchi nyingine zimekuwa zikijaribu kuweka kipengele hicho bila mafanikio

Kiufupi ni kwamba Kazi inaendelea na Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia inaendelea kuweka historia.
Hii ndio Tatizo ya viongozi wa Tanzania wanajua kupopoma wakati kiukweli sivyo.
Sifa hazitatuinua.
Kwani hizi nchi zilizoendelea mbona hatuyasikii haya masifa ya kukua Kwa uchumi lakini wanazidi kupaa!!

Utakuta barabara ya kilomita 20 inajengwa mwaka mzima wakati wenzetu wanaijenga Kwa mwezi mmoja!
Lakini utakutana na ngonjera kibao!!
 
Leo hii Jumatatu April 17 2023 Serikali imesaini mikataba na kampuni tatu za madini za Australi zinazohusisha uendeshaji wa uchimbaji wa Madini ya Kinywe (GRAPHITE) na madini adimu (RARE EARTH ELEMENTS) katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan.

Moja kati ya mengi niliyoyanasa ni hili alilolisema Prof Palamagamna Aidan Mwaluko Kabudi, Mwenyekiti Timu Maalum ya Serikali ya Majadiliano ya Mradi.

Prof Kabudi ameeleza kuwa Katika kampuni zote mbili Serikali ya Tanzania ina hisa ya asilimia 16 ya hisa katika kampuni hizo isiyofifishwa, yaani (Non-Dilutable Free Carried Interest)

Prof Kabudi amesisitiza Tanzania ndio nchi nchi pekee ya Kiafrika kuingiza katika mikataba yake aina hii ya hisa na nchi nyingine zimekuwa zikijaribu kuweka kipengele hicho bila mafanikio

Kiufupi ni kwamba Kazi inaendelea na Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia inaendelea kuweka historia.
Asilimia 16 ndo yaleyale ya zamani yamerudi. Maana wakipata hasara tutapata 16 yetu na wakipata faida tutapata 16 yetu. Mnieleweshe isiyofifishwa maana yake nn
 
Maskini nchi yangu. Madini sio mchicha kwamba yataota mengine. Tunakoelekea fedha itakuwa haina maana tena kwa hiyo wewe uliye na dhahabu nyingi ndo utaonekana tajiri akiba ya dhahabu ndo utajiri kwa sasa
 
Badala ya kupigana tulivyo navyo lulu hata tukifikiria kurusha chbe kwenda sayari na kutengeneza Magari wenyewe watu wanapayuka Hovyo na mali zikiondoka! Wamarekani wanakuja kuchukua madini za kutengeneza gari za umeme kwetu badala ya kuwaambia waunde hapa nchi kwetu Kwa kuwa tunazo hiyo madini.
Ni shida Kuna mahali tumefeli sana.
 
Leo hii Jumatatu April 17 2023 Serikali imesaini mikataba na kampuni tatu za madini za Australi zinazohusisha uendeshaji wa uchimbaji wa Madini ya Kinywe (GRAPHITE) na madini adimu (RARE EARTH ELEMENTS) katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan.

Moja kati ya mengi niliyoyanasa ni hili alilolisema Prof Palamagamna Aidan Mwaluko Kabudi, Mwenyekiti Timu Maalum ya Serikali ya Majadiliano ya Mradi.

Prof Kabudi ameeleza kuwa Katika kampuni zote mbili Serikali ya Tanzania ina hisa ya asilimia 16 ya hisa katika kampuni hizo isiyofifishwa, yaani (Non-Dilutable Free Carried Interest)

Prof Kabudi amesisitiza Tanzania ndio nchi nchi pekee ya Kiafrika kuingiza katika mikataba yake aina hii ya hisa na nchi nyingine zimekuwa zikijaribu kuweka kipengele hicho bila mafanikio

Kiufupi ni kwamba Kazi inaendelea na Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia inaendelea kuweka historia.
Hakuna kazi yoyote ujinga mtupu alafu raisi anashuhudia mambo ya hovyo eti tz ndio nchi ya kwanza kua wakwanza kusaini sio kupata manufaa Tushapigwa mpka hapo kabudi nae kaalmba asali anatoa macho kama popo wa mafia
 
Nyerere alisema unapewa kioo anachukua almasi na unashangilia kama zuzu. Ndicho anafanya mzee wa jalalani.
 
Hakuna jipya. Huyu Kabudi ni kawaida yake kwa uwongo na utiaji chumvii ktk maelezo yake.

Wakati mkataba wa ubia wa uvchimbaji madini wa kampuni ya Twiga ukisainiwa Kabudi alitoa macho na kusema hapa Tanzania imeula. Lkn mpk leo tuko vile vile.
 
Leo hii Jumatatu April 17 2023 Serikali imesaini mikataba na kampuni tatu za madini za Australi zinazohusisha uendeshaji wa uchimbaji wa Madini ya Kinywe (GRAPHITE) na madini adimu (RARE EARTH ELEMENTS) katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan.

Moja kati ya mengi niliyoyanasa ni hili alilolisema Prof Palamagamna Aidan Mwaluko Kabudi, Mwenyekiti Timu Maalum ya Serikali ya Majadiliano ya Mradi.

Prof Kabudi ameeleza kuwa Katika kampuni zote mbili Serikali ya Tanzania ina hisa ya asilimia 16 ya hisa katika kampuni hizo isiyofifishwa, yaani (Non-Dilutable Free Carried Interest)

Prof Kabudi amesisitiza Tanzania ndio nchi nchi pekee ya Kiafrika kuingiza katika mikataba yake aina hii ya hisa na nchi nyingine zimekuwa zikijaribu kuweka kipengele hicho bila mafanikio

Kiufupi ni kwamba Kazi inaendelea na Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia inaendelea kuweka historia.
"Kuweka historia" ni kuwaambia waache kusomba na kupeleka huko. Watengeneze bidhaa hapa hapa.

Ninafahamu sana kwa levo yako utaniona kama mlevi kwa kuyasema haya!
 
Kabudi na lukuvi wametuingiza kwenye mkenge wa mikataba ya tilions Leo kesi zinaendeshwa huko ULAYA Kwa ujinga wao hawa ilibidi kunyongwa
 
Kwan hili nalo tumuamini au bado yuko kwenye anachoita ..mbinu za kunegotiate!
Kabud ana akili nyingi, ujuzi na maarifa ya kutumia vibaya
 
Kila kitu alifanya Magufuli na team yake akiwemo Samia pia!

Awamu ya 4 waliharibu hii nchi!
 
Back
Top Bottom