Kabul, Afghanistan: Wananchi wadandia ndege baada ya Taliban kutwaa Ikulu ya Rais

Hizi picha ni propaganda Tu za western countries kwasabb mpaka wanachukua udhibiti hapajatokea umwagikaji damu.

Wananchi wenyewe wamefurahi sana Taliban fighters kuongoza nchi

Kama ni propaganda si na wewe uende kufanya hizo propaganda?? Naangalia hapa BBC, Al Jazeera etc wanaonyesha ndege zinaondoka Airport watu wanakimbilia na kuna ambao wamedandia kwa nje ndege ilivyoruka wakaanguka na kufariki hapo hapo...
 
Hili ni fundisho kwa Watanzania, mabeberu sio wajomba zetu,kikiumana wao wanakwea pipa na akina Lissu wao na kuwaacha mnaodai katiba ya Warioba(Warioba nae anang'ang'ania hiyo katiba ili apate ujiko wa ''rasimu ya Warioba''. Hapo ndio tujue hakuna Tanzania ingine na tutakoumia ni sisi wanyonge, wenzetu wanaochochea vurugu wana makazi ya kudumu huko ughaibuni.
 
Wacha udini wewe. Hapo Kila mtu anahitaji kuokoa nafsi kumbuka mioyoni mwao wamejaa hofu.
Mimi sijasema hawajajawa hofu Wala hawahitaji kuokoa nafsi zao...Mimi nimecomment on provable pattern ya haya matukio jinsi wakifika nchi Salama Za demokrasia huwa wanasahau walikotoka wanataka waimpose vitu walivyovikimbia kwao.
 
Hizi picha ni propaganda Tu za western countries kwasabb mpaka wanachukua udhibiti hapajatokea umwagikaji damu...
Wananchi wenyewe wamefurahi sana Taliban fighters kuongoza nchi
Usipotoshe mkuu..

Mbona 'Aljazeera' ambayo ni ya Uarabuni huko Doha wameonesha Live hizo video?!!

Uki-tune huko utaona
 
Mimi sijasema hawajajawa hofu Wala hawahitaji kuokoa nafsi zao...Mimi nimecomment on provable pattern ya haya matukio jinsi wakifika nchi Salama Za demokrasia huwa wanasahau walikotoka wanataka waimpose vitu walivyovikimbia kwao.
Kama ni kweli iweje utaje dhehebu? Badala ya uraia? Au ungetumia lugha nyepesi isio leta maudhi kwa wengine.
 
Usipotoshe mkuu..

Mbona 'Aljazeera' ambayo ni ya Uarabuni huko Doha wameonesha Live hizo video?!!

Uki-tune huko utaona
Wanasemaga Aljazeera sio credible source ..wanasemaga Aljazeera Ni Chanel ya wamarekani.
Ukiwauliza credible source ya habari hapa duniani ambayo mtaiamini Ni ipi wanakwambia Ni Quran,Hadith Na Wanazuoni mashekhe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…