Ngai Moko
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 1,301
- 1,738
Siku nyingine usirudie tena kusema maana utashindwa tu,nchi Ni nyingi mpaka nmeshindwa kuchagua...Swali lisiwe Ni nchi Gani wameshasumbua...Swali labda Liwe Ni nchi Gani imepokea wakimbizi kutoka hizo nchi halafu haijapatwa Na matukio ya uchinjaji,uvamizi,ghasia kwasababu Za kidini....labda ntapata tabu kuipata hiyo nchi