Kabul, Afghanistan: Wananchi wadandia ndege baada ya Taliban kutwaa Ikulu ya Rais

Siku nyingine usirudie tena kusema maana utashindwa tu,
 
Kama ni propaganda si na wewe uende kufanya hizo propaganda?? Naangalia hapa BBC, Al Jazeera etc wanaonyesha ndege zinaondoka Airport watu wanakimbilia na kuna ambao wamedandia kwa nje ndege ilivyoruka wakaanguka na kufariki hapo hapo...
Hujamuelewa
 
Hongera sana wana Taliban Kwa kuikomboa nchi yenu
Nalog off
 
Baadhi ya raia wa Afghanistan 640 wakiwa ndani ya ndege ya Kimarekani C_17 cargo jet yenye uwezo wa kubwa abiria 150

 
Siku nyingine usirudie tena kusema maana utashindwa tu,
Ulihitimu darasa la saba?umeelewa nilichoandika??
Yani sjashindwa kukujibu...nina majibu mengi mpaka nmeshindwa kuchagua...

Ndomana nkakuambia ubadilishe swali...Usiulize nchi Gani wameenda wakasumbua uniulize Ni nchi Gani wameenda hawajasumbua maana Kwa kumbukumbu zangu finyu Ni nchi zote walizoenda wamesumbua
 
Hizi picha ni propaganda Tu za western countries kwasabb mpaka wanachukua udhibiti hapajatokea umwagikaji damu...
Wananchi wenyewe wamefurahi sana Taliban fighters kuongoza nchi
 

Attachments

  • VID-20210817-WA0021.mp4
    1.2 MB
  • VID-20210817-WA0020.mp4
    895.4 KB
  • VID-20210816-WA0059.mp4
    2.6 MB
Haohao Raia wanaodandia ndege wakifika uingereza/ ufaransa wanaanza kulilia Sharia iwekwe ufaransa Na kuanza kuwachinja watu wanaoupinga Uislam huko ufaransa.... The irony
We Mama udini unakutesa sana,kila thd lazima uingize upumbavu wako.
 
Afghanistan sio waarabu ila waanakili za kijinga km waarabu
Kuchinja watu na kubaka wtt na wanawake kwao ni thawwbu
Hivi nyie watu mbona mnakua na ujinga uliopitiliza?

Aliye kwambia Afghanistan ni waarabu ni nani?
 
Reactions: PNC
Wanasemaga Aljazeera sio credible source ..wanasemaga Aljazeera Ni Chanel ya wamarekani.
Ukiwauliza credible source ya habari hapa duniani ambayo mtaiamini Ni ipi wanakwambia Ni Quran,Hadith Na Wanazuoni mashekhe
Kampikie mumeo chai ili usije achika wewe hamnazo,hizi mada hazikufai,zinahitaji watu wanao waza deep,inaonekana Uislamu unakutafuna sana nafsi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…