KABUL: Wapiganaji watatu wa Taliban wafariki baada ya kujaribu Kurusha Helikopta za Black Hawk zilizoachwa na Marekani nchini humo

KABUL: Wapiganaji watatu wa Taliban wafariki baada ya kujaribu Kurusha Helikopta za Black Hawk zilizoachwa na Marekani nchini humo

Wanajeshi 3 wa Talibani wameuawa walipojaribu Kurusha ndege za black hawk zilizoachwa na Majeshi ya Marekani yalipoondoka nchini humo.

Mnamo mwezi Agosti 31 mwaka 2021 Majeshi ya Marekani yaliondoka nchini Afghanistan na kuacha vifaa vya kijeshi nyuma zikiwemo Helikopta ambazo ziliachwa zikiwa zimeharibiwa Mifumo ya Kiusalama ya Komputa.


Taliban fighters try to fly US Black Hawk helicopter, three get killed in crash


Download the Wion News App now:

-Shared via WION
Mvaa kobaz Hana akili sikuzote
 
Wamepata wap spea huyo aliyeziacha alikorokochoa kila mifumo muhimu
 
Hahahahahhahahahhahhaa unamuwezea saana jamaa
Ngoja nicheke kidogo ,

Kuna ndugu yangu kidogo watu wa kobazi wamwamishe mji kwa tuhuma anakashifu maandiko matakatifu.

Huyo ndugu yangu alikuwa na duka, sasa akawa ananunua magazeti ya kiarabu ya kilo kwa ajili ya kufungia bidhaa wateja.

Aisee, Hapa ndo nilipowatoaga akilini kabisa 😆 😆 , jamaa hana habari dukani kwake mara ghafla wazee wa kobazi na kiongozi wao wametoka kwenye nyumba ya ibada wameandamana na wanataka jamaa aondoke kwa kuyakashifu maandiko matakatifu kwa kuyafungia bidhaa (wakiamini kila kiarabu ni maneno matakatifu ya quran).

Wakati varangati ni kubwa na limepamba moto na hawaelewi kitu wala ufafanuzi wa jamaa, Mungu si athumani akatokea kobazi mwenzao mmoja mwenye exposure, kuuliza nn, akaelezewa scenario nzima.

Baada ya hapo ndo akaanza sasa kuwaelewesha wenziwe kwamba kiarabu ni kama kiswahili ambacho waarabu hukitumia kuandika siasa, mambo ya kijamii, au ishu nyingine yeyote na kwamba hayo magazeti hayana mahusiano yoyote na quran.

Jamaa kwa sababu ni mwenzao wakamwelewa na kutawanyika, na ishu ikawa resolved. Hawa jamaa hawanaga jambo dogo.
 
Back
Top Bottom