MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Google map wamekwisha update Picha zao za satellites
Hizi ni picha mbili za eneo moja ndani ya miezi kadhaa, Picha ya upande wa kushoto ni ramani mpya.
Hili eneo la chini ni eneo katika msitu wa Tazara.
Kama uliwahikusikia sehmu kuna makaburi ya halaiki ukiingia google utaona disturbed soil.
Ukifanya Mauaji hata ufanye kitu gani huwezi kuficha kesi